Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Rukwa na Katavi

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Rukwa na Katavi

18 September 2020
Katavi, Tanzania

TUNDU LISSU AKIWA NKASI CHALA, NAMANYERE, KAVU, MPANDA. KAMPENI CHADEMA 2020 LEO




Hotuba ya Tundu Lissu leo mkoani Katavi
 
Ni online TV gani tunayoweza kufuatilia mkutano wa leo tulio mikoa tofauti!?
 
Maana hata Jf inaonyesha mikutano ya CCM tu kule Facebook!!
 
Sisi hatuna neno juu ya hilo, ila historia inawahukumu nyie comrade.
Comrade, mimi nadhani umefika wakati sote kama wananchi na wadau tuaminiane. Tujenge mazingira sawia ili ukishindwa ukubali tu kihalali na sio kutumia watu kama polisi indefinately
 
Wakuu leo tena yule Mgombea Urais pekee wa Tanzania asiye na kashfa yoyote ile anaendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Rukwa na Katavi , ambapo itapigwa mikutano minne na mkutano wa Mwisho utapigwa jioni kabisa Mpanda Mjini .

Kwa Taarifa za uhakika kuhusu kampeni za Tundu Lissu endelea kubaki hapahapa JF


========
UPDATES
Jimbo la Kwela
View attachment 1573119View attachment 1573376View attachment 1573377

UPDATES 2
Nkasi Kaskazini akimnadi kamanda Alfred Sotoka

View attachment 1573381
Kuna watu wataugua mwaka huu

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Nipo shule ya kashato watu ni wengi sana hapa katavi mpanda mjini. Watu wameanza kumsubiri kuanzia saa5.
 
Mpaka sasa hajafika hapa uwanjani watu ni wengiwengi wengi sana sijui kama atafika kweli lisu apa
 
Comrade, mimi nadhani umefika wakati sote kama wananchi na wadau tuaminiane. Tujenge mazingira sawia ili ukishindwa ukubali tu kihalali na sio kutumia watu kama polisi indefinately
Nakubaliana na wewe comrade kabisa amani yetu ni muhimu sana. Hizi kauli za "mwaka huu patachimbika wala hatutokubali kushindwa " zikemewe vikali.
 
Ni Tundu Lissu anayetakiwa na watz

Youre right mkuu. Nipo Iringa huku alipopita TAL YAANI WANASEMA WAKURUGENZI WA ELIMU WILAYA WALIWAANDIKA BARUA WALIMU WOTE TOKA VYUO VIKUU MPAKA NURSERY SCHOOL WAHAKIKISHE HAWAFIKI KWA TAL MKUTANONI LAKINI MAJAMAA WALIAMUA KUVAA KININJA WAKAFIKA.
Sasa kuna issue inasukwa kwamba kila mwalimu aeleze wapi amejiandikishia kituo cha kura sijui wanataka wachukue nini.

1. Ukweli ukichukiwa hata ufanyaje watu wanakuwa hawakupendi

2. Jamaaa jpm anabebwa na wasanii tu ngoja mwanaume aingie huko anakopita kubeba watu wakamsikilize.

3. Tayari mikoa ifuatayo ccm hawana kitu ,kilimanjaro,Arusha,Iringa,njombe,mbeya,Songea,sumbawanga,singida,mara,manyara,Mtwara,lindi, bukoba,kigoma.

Ccm mkoa wa kujitumainia
Ni dodoma,Morogoro,mwanza kwasababu ya ukabila, shinyanga,geita, tabora , simiyu.

4. Leo magazeti yote taarifa ya ccm tu na hata tv na mabango lakini watu wamemkataa.

5. Serikalini watu asilimia kubwa ni lissu kwasababu wengi hawana inami na mkuu anyway TUIOMBEE NCHI YETU.
 
Back
Top Bottom