Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Lile chopa tuliloambiwa kwamba lingeruka vp? Mbona tunamchosha rais mtarajiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeamua wewe na nani changudoa?Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Wewe nilishakwambia siku nyingi matusi yote tukana ila hayatamuongezea Lisu kura hata moja!Mmeamua wewe na nani changudoa?
Washamba ndio wanaotumia neno mabeberu baada ya kukosa hoja, na ukiwauliza mabeberu ni akina nani hawajui, wana balozi zao nchini na zinafanya kazi gani...Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Nyie ccm Ila sisi wananchi ndio tunamtaka huyu rafiki wa mabeberu,nyie bakieni na bwanawenu chinaLisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Sikushangai!Washamba ndio wanaotumia neno mabeberu baada ya kukosa hoja, na ukiwauliza mabeberu ni akina nani hawajui, wana balozi zao nchini na zinafanya kazi gani...
Endelea kukaa hapo hapo ulipo, oktoba tutawafurahisha sana Lisu pamoja na huyo beberu wenu Amsterdam.Lissu ndiye rais wako wa awamu ya sita, kama hutaki rudi kwenu Burundi
Baada ya oktoba utajua kama alikuwa na kazi ngumu au rahisiHahahaha bashiru Ana kazi kubwa sana kwa vijana wake wa mitandaoni
Mimi na watanzania wenzenguUmeamua na nani.Naona umeamua peke yako
Wafuasi wote wa Lisu hamjui tofauti ya beberu na mfadhili kwa kuwa wote wana rangi moja.Hahaha beberu ni yupi? Anatoa arv na condom bure au ni wale ambao wanachangia roadfund?
Hivi mabeberu ndio wakina nani hasa?Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Wapuuzi zaidi ni wale vibaraka wa mabebruMpuuzi wewe.
Usitusemee watanzania , jisemee wewe labda na familia yako unayoilisha ile buk 7 mnazopewa kwa kung'ang'aniza na kugeuza uwongo kuwa ukweli!Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Duh! Ila mnamuogopa Amsterdam mpaka mnatia huruma. Vinginevyo NEC walipewaga maelekezo ya kulikata jina la Lissu,wakaogopa. Mnamuogopa beberu.Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Huna hoja we kaa kimya. Mmeamua wewe na Nani?Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Yap mko kama 20% hivi ya wapiga kura wote.Haaaa haaaa, pale simba inapoiambia Yanga isijisumbue maana haitabeba kombe! Mimi ni mtanzania Lisu ndio chaguo langu.
Yap mko kama 20% hivi ya wapiga kura wote.Haaaa haaaa, pale simba inapoiambia Yanga isijisumbue maana haitabeba kombe! Mimi ni mtanzania Lisu ndio chaguo langu.
Atiiiiiiiiiiiiii niiiiiiiiiii?Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!