Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

junior252 Kwani nani alikuwa anapiga kura? Usikute unaowasema hapo ni wapiga kura na siyo KTMA.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kila dalili ya ndimu na malimao kupanda bei wiki hii.
 
Mmmh, mara avae pampers, mara avae shati... Huyu si mzima
 
How come Christian Bella anakosa tunzo..........hovyooo kama watia nia wa chama f'lani hivi
 
Ukweli huyu mtoto amezaliwa tz kimakosa. Ana roho ya kizungu hivyo achangiwe nauli arudi kwao kwa wenye utamaduni huo. Sijui kama ngeli inapanda.
 
Poleni sana mlioumia..Bongo ndo hii zaid ya unavyoijua..mm nliisha futa kitu kinaitwa tunzo au tuzo hapa bongo katika mawazo yangu maana ntabaki kunung'unika tu na kupunguza siku zangu za kuishi.
 
Bahat mbaya weng hawajui kuwa slogan ya ktma ni "kiburudisho cha kikwetu kwetu" hatuangalii huko nje unafanya nini bali tunaangalia ni kwa kiasi gani unachofanya kinakubalika hapa nyumbani.
 
mi niliiona tangu mwanzo kuwa iko boring, nikalala hata matokeo sikuyajua, nikasema nitaingia JF asubuhi nipate habari zaidi.
 
Tuzo za ktma ziliniboa sana sijui kama ntazifatilia tena na hii sio sababu ya MTU mmoja but watu wengi walistahili lakini hawakupewa
 
Unafanya mambo unaona sifa lakini wanaathirika watoto wake huko mbeleni maana watakuwa wanaona picha za mama yao.
 
Mtu kama Christian Bella amekosa hata tuzo moja? Jamani are we serious? Haya, ommy dimpoz hata kuwekwa kwenye kipengele hata kimoja hamna? Haya, yamoto band kupata tuzo moja tu? Ovyo ooh! Wasengerema hawa!
 

Yaaani bora ningezaliwa Somalia kuliko Tanzania,nchi imejaa wanafiki na watu wasiojielewa eti kisa tu mafanikio binafsi ya mtu.
Ovyoooooooooooooooooo
 

Ally Hana jipya kwa wimbo gan haswa? Kucheza hajui wimbo mmbaya! Hana uwezo wowote ndio mana hakuwepo wamembeba sana! Hawawezinkuxuia mafuriko kwa mikono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…