Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Wema na Kidoti ni wanawake wa ajabu,wapumbav na hawafai endelea ishi ktk nchi hii.

Yani wame lobby kwa nguvu zote KTMA 2015.., KISA TU DIAMOND AMEWALA NA SASA YUKO NA ZARI.

NI UJINGA MKUBWA KUTOKEA KWA TAIFA LA WATU WAZIMA.

NASHANGAA, NA HUENDA WALIGAWA MIZIGO KABISA KUWAFUMBA MACHO MA JUDGE YOTE KUMKOMOA DIAMOND.

Ma judge walikuwa ni wanawake! sijui unamanisha mzingo upi kama ni wa hela wema hana uwezo wa kuwahonga ma judge wote!
 
Matunda ya dharau yameonekana jana

One day alsema.....(1)nataka numtoe kiba kimziki hyo imemcost...(2)sijaona hotel ya kulala mbeya kosa la pili hlo coz nahs watu wote wa mbeya kura wamempa kiba.....(3)sina mda wa kufany tena colabo na msanii wa ndan coz hawana jipya,kosa lingne coz nahs wasanii weng wamempa kura kiba.....(4)kulko nilale na wema bora nlale na kichaa,kosa lingne hlo coz hata wema miaka ya nyuma alikuwa chachu ya mafanikio ya diamond kwenye KTMA ila mwaka huu amekuwa msaada kwa kiba.... SO MSHKAJI AACHE DHARAU������
 
Hivi ukikaa karibu na mtu aliyevaa hivi si wanatoa HARUFU ya mwili kwa kutokuwa huru?
 
Kupata tuzo upate kura za kutosha,mashabiki wa kiba walipiga kura nyingi kuliko diamond,kumbuka mashabiki wa wema pia wamempigia kiba,Domo atulie msimu wake ushapita amwambie zari Ampe support.
 
Kiba hizo nafasi zote kaingia kwa wimbo mmoja tu Mwana daresalam.?

Mwaka 2014 Diamond Platnumz alishinda Tuzo zote kwa wimbo mmoja tu wa 'My Number One'...

Tuzo zenyewe ni :

1. Wimbo bora wa Afro Pop - My Number One.

2. Mwimbaji Bora wa Kiume - Kizazi Kipya.

3. Wimbo bora wa kushirikisha - Muziki gani - Diamond & Nay.

4. Mtunzi Bora wa mwaka Kizazi kipya.

5. Video bora ya muziki ya mwaka - My Number One.

6. Wimbo bora wa mwaka - My Number One.

7. Mtumbuizaji bora wa muziki

Hizi ni tuzo alizochukua Diamond mwaka jana (2014) na alibebwa na wimbo mmoja tu wa 'My Number One'...

Sasa kwa nini Ali Kiba anabebwa na wimbo wake wa 'Mwana' inakuwa ishu?...

Mbona mwaka jana watu hawakuhoji Diamond kubeba tuzo zote hizo 7 kwa sababu ya wimbo wa 'My Number One' tu?...

Hizi so called 'teams' kansa nyingine isiyo na manufaa yoyote...

Bala.
 
Balantanda Wewe huko team kiba unatetea team kiba post zako zote alafu unalaumu teams! Tetea team yako na wenzio watetee team zao.

Ndio mziki ulipofika hatuna jinsi. Ila kiukweli mwaka wa Diamond tuzo 7 na wa 20% walistahili tuzo zote ata ukiangalia hapo. Ila mwaka huu inabidi kutumia nguvu kuupindisha ukweli uliokaa wazi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom