Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Kina Faiza wote ni viazi kinoma! Weka mbali na watoto hili jina.
 
Nilipga kura zaid ya Mara 70

Na ninafurahia ushindi Wa kibanio

Kawabana sehemu Fulani hivi unnamed

Kama uliyempigia kura hakushinda, basi kura hizo hazikutosha kumfanya mshindi. Na kama uliyempigia kura kashinda basi kura zako zilitosha kumfanya mshindi.
 
Marahabaaaaa tukiamua kukuinua tunakuinua bureeee kabisa. Tukiamua kukishusha huchukui dakika. Niko busy kumvote davido

Mmmh, Mimi sina timu ila napenda music,

Weka Tanzania, mbele Mkuu
siku davido alipo mdis naseeb alidis Tz nzima...na wew ukiwa mmoja wapo.

Leta heshima kwa tz
 
Diamond hivi karibuni alitoa kauli kuwa "Ali Kiba anakula makombo yake" akimaanisha uhusiano wa Ali Kiba na Jokate Mwegelo eti Jokate ni makombo ya Diamond!

Hilo ni tusi na alipaswa kuomba radhi na kuonyesha kujutia kauli yake hiyo! Hivi mtu na akili yake timamu tena kioo cha jamii kwenye nchi ya maadili unatoa kauli kama hiyo?

Hamuwezi amini lakini hata hizo tuzo mbili ilikuwa ni kumhurumia tu kwani hakustahili! Ni lazima afunzwe adabu!

Tukianza kutoa lugha chafu kama hizo hatujengani kisanii! Jokate naye ni msanii na hapaswi kudhalilishwa na mwanaume kisa eti alimpa penzi!

Hapana huyu ni lazima ajirudi na ajuwe kuwa yeye ni kioo cha kujenga jamii na siyo kuibomoa! Nadhani hilo ni onyo kali kwake!
 
Back
Top Bottom