Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

me too
na nawashawish watu 30 ninaowajua wenye smart phone kufanya hivyo

1.Kiukweli kabisa, kutegemea kashfa za ngono zikuinue kimziki, ipo siku watu watakasirika na kukumwaga coz mabinti au mabwana unaowatenda, wana ndugu jamaa marafiki na mashabiki ambao ndio hao hao wanaolipa viingilio na kukupigia kura.

2. Unapozidharau tuzo za nyumbani, mazingira ya nyumbani na wanamuziki wenzio wa nyumbani, eti "its too local" unajikata mizizi mwenyewe, na soon majani yako yatakauka na kufa kabisa kimziki.
Ni hayo tu, mfikishieni mhusika.
 
1.Kiukweli kabisa, kutegemea kashfa za ngono zikuinue kimziki, ipo siku watu watakasirika na kukumwaga coz mabinti au mabwana unaowatenda, wana ndugu jamaa marafiki na mashabiki ambao ndio hao hao wanaolipa viingilio na kukupigia kura.

2. Unapozidharau tuzo za nyumbani, mazingira ya nyumbani na wanamuziki wenzio wa nyumbani, eti "its too local" unajikata mizizi mwenyewe, na soon majani yako yatakauka na kufa kabisa kimziki.
Ni hayo tu, mfikishieni mhusika.

Mkuu huu uzi

Ufungwe tu

Umekosa radha
 
Wew ukimpiga Vanessa na Diamond unaweka Asia mbele eeh?

niiweke tanzania mbele kwa kumpigia dAYAMONDI kura wakati kaidhalilisha Ktma
kwanza alikataa kuomba kura za nyumbani NIMPIGIE ZA NJE ILI IWEJE???
kama yeye mzalendo angeanzia na home

pili hata hizo mbili alizopata hajashukuru mashabiki maana kama hakuna aliempigia ile moja ingeenda kwa bella
naanzaje kumpigia sasa????
 
Diamond hivi karibuni alitoa kauli kuwa "Ali Kiba anakula makombo yake" akimaanisha uhusiano wa Ali Kiba na Jokate Mwegelo eti Jokate ni makombo ya Diamond!

Hilo ni tusi na alipaswa kuomba radhi na kuonyesha kujutia kauli yake hiyo! Hivi mtu na akili yake timamu tena kioo cha jamii kwenye nchi ya maadili unatoa kauli kama hiyo?

Hamuwezi amini lakini hata hizo tuzo mbili ilikuwa ni kumhurumia tu kwani hakustahili! Ni lazima afunzwe adabu!

Tukianza kutoa lugha chafu kama hizo hatujengani kisanii! Jokate naye ni msanii na hapaswi kudhalilishwa na mwanaume kisa eti alimpa penzi!

Hapana huyu ni lazima ajirudi na ajuwe kuwa yeye ni kioo cha kujenga jamii na siyo kuibomoa! Nadhani hilo ni onyo kali kwake!

  • Hapo kwenye red je una video au audio ya hicho ulichokiandika ili tuthibitishe?
  • Pili je tuzo za KTMA zinatolewa kwa kuangalia maisha binafsi ya mtu?
 
masai dada Yaani "MWANA" tuliyemlea wenyewe Bongo land kule "MBAGALA", sasa kakua na kawa mkubwaa, anatudharau na kutuita sisi "too local" eti yeye ni wa Kimataifa zaidi, basi nenda "KAMWAMBIE" Arudi aombe msamaha kwa sababu Uchungu wa "MWANA" aujuae mzazi siku zote milele. Tena akupe hakika ni lini "ATAREJEA" kuomba msamaha kwa Watanzania aliowadharau.
 
Last edited by a moderator:
Na akose tu,hamna tena jinsi. Kumpigia mwaka jana mlisema kwa kuwa anaiwakilisha Tanzania na tuweke uzalendo mbele. Sahv hata sitopiga tena maana mkishinda mnajisahau mnamuona anajua zaid ya wote. Ataishia kupata video bora bongo tena mwisho mwaka huu
 
Kuna category sizielewi!na wasanii siwaelewi,wapeane tuzo hata zote ila mitaa ndo inajua who's the best.
 

Attachments

  • 1434273061062.jpg
    1434273061062.jpg
    37.7 KB · Views: 245
Econometrician Kigezo kikuu cha kushinda KTMA ni wingi wa kura. Je, wewe ulipiga kura kuziwezesha hizo nyimbo zako uzipendazo kushinda Tuzo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom