Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Nashukuru mungu tuzo zimeisha salama na tumewajua ma legends wetu. Lakini alicho kifanya jux kakosea kibinadamu inabidi amuombe msamaha mke wa mabeste kwa kweli.
 
Huwa najiuliza sana. Nini maana ya kuvaa vibaya?
Tatizo la akili lipo kwa mvaaji au matazamaji!
Kama mvaaji anatatizo la akili iweje mtazamaji aumie kiasi cha kutokwa na maneno mengi!
Jamani nadhani mtazamaji anaposhindwa kudhibiti hisia zake ndo hapo tatizo linakuja. Ndo maana unaona mtu anabaka mbuzi kisa kashindwa kutuliza akili. Sasa hapo tutasema tatizo la mbuzi kukaa uchi au la mtazamaji,?
Mimi simo jamani.
 
Daahh bongo kuna mademu aisee hata tuzo ilikuwa hazifuatiliwi na waliokuwemo ukumbini
 
nimeamini ule utafiti wa IQ za watanzania....basing on upuuzi wa watu kama mtoa mada lazima wabongo wengi ni mataahira.....VIGEZO VILIKUWA MDOMO MSAFI AU UWEZO WA MZIKI

Kushupaa kwa aina hii kumemfanya Diamond akapotezwa! Huamini?
 

is true anajua sana and what happened last night it was only because of poor vigezo vya kuwapata washindi ikiwepo ya kufanya kula za watu ndo zitoe ushindi wakati kila shindano the last people to decide ni majaji so stop saying your stupid things if hutampigia kula wapo wataompigia.... i hate these kind of people ambao hawjui hata wanaandika nini... rudi darasanai
 
i see,,,Haina haja ya kwenda USA kumuona Lady Gaga na Miley
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…