Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Tunapga kura kwa kujisikia na hatuendeshwi na matukio. Mi napigia mwanamziki mzuri basi.

Jifunze kutojihusisha fitna ....ipende nchi yako kwanza
Wapende wananchi wenzako kwani hawa ndio ndugu zako .

Wanaijeria sio wenzako wala si jambo la kujivunia kumchukia ndugu yako na kumpenda mwengine

Kama ambavyo damu nzito kuliko maji , ndivyo ambavyo uzalendo ni mzito kuliko chuki .

Chuki mwiko .
 
Mdau Usisahau

*****************

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 
Siku wasanii wa bongo wakiacha kutumiwa na media haya yataisha.Hapa kuna media inamtaka mond kwenye fiesta ndio maana akaambiwa asiombe kura.
 
Watu wanatengeneza pesa sie tumekalia kiba vs mond kumbe wao wapo vizuri tu,wadau wanafaidika kwa beef za kutengeneza.Kumbuka Ray alivyokuwa anachuana na kanumba angalia kanumba baada ya kufa na Ray chali hizi beef zimetengenezwa kwa ajili ya kuwajenga wao kimuziki.
 
Hapo hakuna cha bifu ni ujinga tu wa Ali Kiba anataka mafanikio kupitia mgongo wa Diamond, alichezea nafasi kipindi hicho, kwa sasa sema kweli hamfikii hata Rich Mavoko. Dogo Kiba atumie hela kufanya kazi zinazoonekana na si kutumia hela kutafuta umaarufu kwa sifa asizokuwa nazo
 
Kiba hajawahi kuwa na dharau
 
Kisa Nini Sasa KTMA?... Hahhahahahahahha Alikiba Asubiri Mwakani tena ndo mwisho wake
 
Kubishana na mtu alojeruhiwa moyo kwa mshtuko wa taarifa ni sawa na kutaka kujaza maji kwenye chujio.
Jana na leo nmeona id mpya nyingi sana.Kweli kuna mashabiki failure wengi mno.

Hahahaaaa wafungue mpya adi minduku ichachukee who care?? Sisi ndo sisi buanaaaa acha wanye wakimaliza wazoe wenyewe.
 
Nilifikiri unajenga alichobomoa Lemutz kumbe Una akili fupi na wewe...

Umeendelea kubomoa...tuu .

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Na ndo maana umeona nimebomoa...
Swali kwako.
Kwani ni lazima kushqbikia simba au yanga kwa ajili ni za tz???
 
Napenda mziki mzuri, nasupport mafanikio ya wakwetu, Sioni sababu ya kutumia nguvu nyingi na kushawishi watu wafanye unavyotaka wewe...hii inaonyesha Hindi gani tulivyokuwa na mapungufu. Tena makubwa..

Hahahaaaaa vote for davido.
 
Hahahahaaa, leo wanatapikaje huko waliko? Hakika leo tumewachapa kinoma nomaaaa...lol
Hawajawahi kuwa na siku mbaya kama ya leo!

Ndo dawa yao maana wana vimbelembele sana. Na hizi sherehe nitaziendeleza kwa siku tano.
Lazma tujipongeze maana kutmra zetu zimeleta mabadiliko.
 

cute b,Qumamae wallahi,watu mnamitusi??!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…