Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Tunapga kura kwa kujisikia na hatuendeshwi na matukio. Mi napigia mwanamziki mzuri basi.
Jifunze kutojihusisha fitna ....ipende nchi yako kwanza
Wapende wananchi wenzako kwani hawa ndio ndugu zako .
Wanaijeria sio wenzako wala si jambo la kujivunia kumchukia ndugu yako na kumpenda mwengine
Kama ambavyo damu nzito kuliko maji , ndivyo ambavyo uzalendo ni mzito kuliko chuki .
Chuki mwiko .