Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Tunapga kura kwa kujisikia na hatuendeshwi na matukio. Mi napigia mwanamziki mzuri basi.

Jifunze kutojihusisha fitna ....ipende nchi yako kwanza
Wapende wananchi wenzako kwani hawa ndio ndugu zako .

Wanaijeria sio wenzako wala si jambo la kujivunia kumchukia ndugu yako na kumpenda mwengine

Kama ambavyo damu nzito kuliko maji , ndivyo ambavyo uzalendo ni mzito kuliko chuki .

Chuki mwiko .
 
Mdau Usisahau

*****************

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 
Siku wasanii wa bongo wakiacha kutumiwa na media haya yataisha.Hapa kuna media inamtaka mond kwenye fiesta ndio maana akaambiwa asiombe kura.
 
Watu wanatengeneza pesa sie tumekalia kiba vs mond kumbe wao wapo vizuri tu,wadau wanafaidika kwa beef za kutengeneza.Kumbuka Ray alivyokuwa anachuana na kanumba angalia kanumba baada ya kufa na Ray chali hizi beef zimetengenezwa kwa ajili ya kuwajenga wao kimuziki.
 
Hapo hakuna cha bifu ni ujinga tu wa Ali Kiba anataka mafanikio kupitia mgongo wa Diamond, alichezea nafasi kipindi hicho, kwa sasa sema kweli hamfikii hata Rich Mavoko. Dogo Kiba atumie hela kufanya kazi zinazoonekana na si kutumia hela kutafuta umaarufu kwa sifa asizokuwa nazo
 
Binafsi napenda maendeleo ya mziki wetu na napenda uzid kwenda mbele zaid...ushaur: Diamond na kiba kutanen mtoe tofaut zenu na mje na collabo itakuwa vzr zaid kwa afya ya mziki wetu....'.sio vibaya kat yenu mmoja akajishusha kwa mwenzake ili mazungumzo yaende vizur,,,majivuno, dharau kibur myaepuke panapostahil mtu kuheshimiwa kutokana na nafas yake kimzik bas mpeane heshima hzo upendo aman na mshikamano mtafika mbal ona hiz team team znafanya wasanii wengne wakumbwe na vimbunga vya team hz. Mmoja wen akipigiwa kura akishinda asilete dharau kwa mwenzie pia team znaharb mziki mfano tuzo za kimataifa kura zinapigwa na team zote ila ushind unapopatikana ni masimango kejel kwa team nyingne sasa umoja hauwez kuwepo kwa mtindo huu plz malizen tofaut zenu mje na collabo hapa mashabik tupo tayar kuwaunga mkono mkiwa kitu kimoja! To gether we made!
Kiba hajawahi kuwa na dharau
 
Kisa Nini Sasa KTMA?... Hahhahahahahahha Alikiba Asubiri Mwakani tena ndo mwisho wake
 
Kubishana na mtu alojeruhiwa moyo kwa mshtuko wa taarifa ni sawa na kutaka kujaza maji kwenye chujio.
Jana na leo nmeona id mpya nyingi sana.Kweli kuna mashabiki failure wengi mno.

Hahahaaaa wafungue mpya adi minduku ichachukee who care?? Sisi ndo sisi buanaaaa acha wanye wakimaliza wazoe wenyewe.
 
Nilifikiri unajenga alichobomoa Lemutz kumbe Una akili fupi na wewe...

Umeendelea kubomoa...tuu .

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Na ndo maana umeona nimebomoa...
Swali kwako.
Kwani ni lazima kushqbikia simba au yanga kwa ajili ni za tz???
 
Napenda mziki mzuri, nasupport mafanikio ya wakwetu, Sioni sababu ya kutumia nguvu nyingi na kushawishi watu wafanye unavyotaka wewe...hii inaonyesha Hindi gani tulivyokuwa na mapungufu. Tena makubwa..

Hahahaaaaa vote for davido.
 
Hahahahaaa, leo wanatapikaje huko waliko? Hakika leo tumewachapa kinoma nomaaaa...lol
Hawajawahi kuwa na siku mbaya kama ya leo!

Ndo dawa yao maana wana vimbelembele sana. Na hizi sherehe nitaziendeleza kwa siku tano.
Lazma tujipongeze maana kutmra zetu zimeleta mabadiliko.
 
Mwehu mwenyewe tena mazafanta ina huuuuuuuuuuuuuuuuuu? Mnatokwa povuu kama vile wew ni bikra kumbe unalibwawa linalofuga kambale.
Malaya umewaona akina jokate tu? Huo uchi wako ninaweza nikaingiza mikono yangu miwili nikapiga makofi kwa ndani sasa jiulize nani fuska. Nyooooooooo.

cute b,Qumamae wallahi,watu mnamitusi??!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom