Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Aisee .....wangezungumza na vyombo vya Habari .....
 
Innay Jamaa atakuwa anakula bata labda.
 
Last edited by a moderator:
Innay Ndo Mpaka Mwakani Tena.. Mwenzenu Sasa Hivi Anapigania Tuzo Tatu za Kimataifa
 
Last edited by a moderator:

Ahsante kwa kumuelewesha mkuu
 
Tanzania ndio maana tunaitwa"bongo lala" Leo tunampiga vita Daimond,akipotea huyo kiba ataweza kupepea bendera ya bongo afrika?wakati yk katika game siku nyingi bila kufikia viwango???

Ucwe na mawazo hayo Jack yoyote anaweza kupeperusha bendera hapa...kinachoangusha mziki wetu ni dharau tu na ubinafsi
 
Hili bifu lina manufaa kwa kiba kuliko daimond nimethibitisha msururu wa tuzo zimewasahau hata wakina dimpoz na mavoko kweli hatari

Ndo mana nikasema vimbunga vya hiz team mbil zimewakumba na kuwazoa wasanii wengine!
 
Hii ya huku nimeipenda as people talks facts and rather maushabiki ya hovyo

Mkuu unajua wote ni watanzania hamna haja kugombania fito,,,tunahitaji wasanii wetu hawa wamalize tofaut zao kwa afya ya mziki wetu,,
 
Itabidi Dai apunguze madharau
yeye na bi dada wake. Chezea wa TZ wakinunua wewe.

Na asipooangali hata huko MTV anaweza akose.
 
Wabongo bwana, yani mtu ukifanikiwa kiuchumi wanataka uishi maisha yale yale yakuja kijiweni nakupiga soga,usipofanya ivyo wanasema unawaringia, hawajui kuwa "too much money aint enough money" ...too much money -too much mipango- too much problem...sijui wanataka awe kama juma nature enzi zile anatembea na ndala kariakoo eti msela..
 
Kiba hajawahi kuwa na dharau

Sure, na ndiye aliyemtoa Diamond. Diamond asingeweza kutoka angechelewa sana bila Kiba. Nyimbo za Mbagala na Kamwambie zimerekodiwa studio ya Kiba! Bure, akina Kiba ndio waliomshauri asiimbe Rap.


Tuwe wakweli tu, Diamond ndiye tatizo. Huwezi ukazungumzia muziki wa Bongo Flava bila kuwaweka akina Kiba ambao ndio waliusimamia na kuukuza kuanzia nakshi Nakshi na Cinderella.

King atabaki kuwa King.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…