Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Zembwela anawapiga vijembe clouds...ndio maana fetty kawa mpoleee..
 
Kiba sokoni, mnyamaa diamond supermarket.. hahahahah mmemuelewa zembwelaaa???
 
Walikuwa wanajihisi kushindwa shindwa.le mutuz jinga tu lile

Wapuuzi kweli wakipata ndo washindi wakikosa wanaonewa na kushushwa. Sijui kwanini wabongo tunapenda kulalamika na kulaumu. Sasa hapo watasemaje? Kuweka akiba ya maneno ni kuzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…