Mbona kama umepooza dear? Kulikoni?
Sijapooza ma dear umeme ulikatka siku nzima umerudi mda si mrefu na sa ivi Niko sa... Yani najiona ka nitachelewa kuona tuzo za Ktma.
Pole dear, ila fanya uwahi bwanaaa..tukio kuanza mapema ni mbwembwe tu mambo yatanoga kuanzia saa 4-6 huko.
Eeish, hivi kumbe bado hajarudi tu? Haya naona Habiba sijui yule? Atampokelea kama kwenye tuzo za watu.
Hii avatar mbona cha mtoto sana tu,niambie leo utafurahi sana,nani akichukua tuzo?hhhaaahaaaa asante..hyo avatar nahis unaendana nayo..
Kumbe? Basi hata nilikua sijui...
Hunizidi mimi mamy!
Wanaonyesha clouds TV peke tu wakuu?