Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Jamani eee tukio si ndo limenukiaaa?..
Alafu king yupo dalas.
Kama vipi ngoja nikazipokee izo tuzo .

Eeish, hivi kumbe bado hajarudi tu? Haya naona Habiba sijui yule? Atampokelea kama kwenye tuzo za watu.
 
Sijapooza ma dear umeme ulikatka siku nzima umerudi mda si mrefu na sa ivi Niko sa... Yani najiona ka nitachelewa kuona tuzo za Ktma.

Pole dear, ila fanya uwahi bwanaaa..tukio kuanza mapema ni mbwembwe tu mambo yatanoga kuanzia saa 4-6 huko.
 
Pole dear, ila fanya uwahi bwanaaa..tukio kuanza mapema ni mbwembwe tu mambo yatanoga kuanzia saa 4-6 huko.

Yani ndo nafanya fasta hapa staki kupitwa na tukio lolote la kwenye hizi tuzo.
 
Eeish, hivi kumbe bado hajarudi tu? Haya naona Habiba sijui yule? Atampokelea kama kwenye tuzo za watu.

Leo ndo ana shoo tena mamy...
Naombaje Mungu apa tuchukuee.
 
Ruby kapendezaaaaaa!
 
Back
Top Bottom