Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Teh Teh wewe ndio mwenye jukumu la kuremba huu uzi ntakusaidi kuzi tafuta pia..!

Asante sana kwa kunisaidia, nadhani mods watazipeleka hizo categories pale juu ukizileta.
 
Asante sana kwa kunisaidia, nadhani mods watazipeleka hizo categories pale juu ukizileta.

nifah
Haya kazi ni kwako...copy na pest hapo juu!

Orodha ya wasanii waliongia katika
kinyang’anyiro cha Kilimanjaro Music
Awards 2015:
MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA
MWAKA- KIUME
1. Mzee Yusuf
2. Christian Bella
3. Diamond Platnumz
4. Ally Kiba
MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA
MWAKA- KIKE
1. Vanessa Mdee
2. Khadija Kopa
3. Isha Mashauzi
4. Shaa
5. Dayna Nyange
3.MWIMBAJI BORA WA KIUME-
TAARAB
1. Mzee Yussuf
2. Prince Amigo
3. Hassan Vocha
4. Hassan Ally
5. Mussa Kijoti
MWIMBAJI BORA WA KIUME-
BONGO FLEVA
1. Ali Kiba
2. Ben Pol
3. Jux
4. Diamond
5. Belle 9
MWIMBAJI BORA WA KIUME- BENDI
1. Jose Mara
2. Kalala Junior
3. Khalidi Chokoraa
4. Chaz Baba
5. Nyoshi El Sadat
MWIMBAJI BORA WA KIKE- TAARAB
1. Khadija Kopa
2. Isha Mashauzi
3. Hadija Yussuf
4. Leyla Rashid
5. Fatuma Nyoro
MWIMBAJI BORA WA KIKE- BONGO
FLEVA
1. Lady Jaydee
2. Vanessa Mdee
3. Linnah
4. Grace Matata
5. Malaika
MWIMBAJI BORA WA KIKE- BENDI
(Hakukuwa na washindani)
WIMBO BORA WA TAARAB
1. Hasid Hana Sababu – Hadija Yussuf
2. Lady With Confidence – Khadija
Kopa
WIMBO BORA WA MWAKA
1. Mwana – Ali Kiba
2. Nani kama Mama – Christian Bella
3. Gere – Weusi
4. Nitasubiri – Jux
5. Bongo Hip Hop – Fid
WIMBO BORA WA KISWAHILI
(BENDI)
1. Otilia – FM Academia
2. Kiu Ya Haki – Mashujaa Band
3. Sauti ya Marehemu – Mapacha
Watatu
4. Ganda la Muwa – Twanga Pepeta
5. Wale Wale – Vijana Ngwasuma
WIMBO BORA WA R&B
1. Nitasubiri – Jux
2. Unanichora – Ben Pol
3. Vitamin Music – Belle 9
4. Sisikii – Jux
5. Ni Penzi – Damian Soul
WIMBO BORA WA HIP HOP
1. Bongo Hip Hop – Fid Q
2. Mfalme – Mwana FA
3. Kipi Sijasikia – Proffesor Jay
4. Gere – Weusi
5. I See Me – Joh Makini
6. XO – Joh Makini
WIMBO BORA WA REGGA/DANCE
HALL
1. Let Them Know – Maua
2. Mama Afrika – Warriors From The
East
3. Maisha Magumu – Warriors From
The East
4. Greeting For You – Ras Six
5. Tujimwage – Deddy
RAPA BORA WA MWAKA (BENDI
1. Ferguson
2. Msafiri Diouf
3. Sauti ya Radi
4. J4
5. Kabatano
MTUNZI BORA WA MWAKA-
TAARABU
1. Mzee Yusuf
2. Thabit Abdul
3. Isha Mashauzi
4. Abdallah Fereshi
5. Hassan Ally
MTUNZI BORA WA MWAKA- BONGO
FLEVA
1. Ally Kiba
2. Diamond
3. Ben Pol
4. Barnaba
5. Jux
MTUNZI BORA WA MWAKA- BENDI
1. Jose Mara
2. Nyoshi El Saadat
3. Rogart Hegga Katapila
4. Hussein Jumbe
5. Richard Mangustino
MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP
1. Fid Q
2. Mwana FA
3. Joh Makini
4. Nikki wa Pili
5. Kala Jeremiah
MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA
WA NYIMBO WA MWAKA- BONGO
FLEVA
1. Nahreel
2. Man Water
3. Mesen Selekta
4. Tudd Thomas
5. Marco Chali
MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA
WA NYIMBO WA MWAKA- TAARAB
1. Enrico
2. Marlon Linje
MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA
WA NYIMBO WA MWAKA- BENDI
1. Allan Mapigo
2. Enrico
3. Said Comorien
4. Amoroso
5. Ababuu Mwana Zanzibar
VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA
1. Mdogo Mdogo – Diamond
2. Nitampata Wapi – Diamond
3. Mwana – Ally Kiba
4. Olethemba – Linah
5. Asante – AY
WIMBO BORA WA AFRO POP
1. Mwana – Ali Kiba
2. Mdogo Mdogo – Diamond
3. Niseme – Yamoto Band
4. Nitakupwelepweta – Yamoto Band
5. Kanyaboya – Mesen Selekta
6. Hawajui – Vanessa Mdee
WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA
1. Nani Kama Mama – Christian Bella
2. Basi Nenda – Mo Music
3. Nitampata Wapi – Diamond
4. Nasimama – Lady Jaydee
5. Historia – Lady Jaydee
.WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA
ASILI YA KITANZANIA
1. Waite – Mrisho Mpoto
2. Vuma – Vitalis Maembe
3. Tumetoka Mbali – Jagguar Music
4. Mama Shabani – Ifa Band
5. Omwana – B.K Sande
MSANII BORA CHIPUKIZI
ANAYEIBUKIA
1. Baraka Da Prince
2. Beka Tittle
3. Afromaniac
4. Alice
5. Billnas
.WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA/
KUSHIRIKIANA
1. Forever – Lady Jaydee ft Dabo
2. Mfalme – Mwana FA fr G-Nako
3. Kipi Sijasikia – Prof Jay ft Diamond
4. Kiboko Yangu – Mwana FA ft Ali
Kiba
5. Kerewa – Shetta ft Diamond
BENDI BORA YA MWAKA
1. FM Academia
2. The African Stars
3. Mapacha Watatu
4. Mashujaa Band
5. Msondo Ngoma
KIKUNDI BORA CHA MWAKA-
TAARAB
1. Jahazi Modern Taarab
2. Mashauzi Classic
3. Dar Modern Taarab
4. Five Stars
5. Wakali Wao Modern Taradance
KIKUNDI BORA CHA MWAKA-
BONGO FLEVA
1. Yamoto Band
2. Weusi
3. Navikenzo
4. Makomando
5. B.O.B
 
Last edited by a moderator:
All the best kwa wasanii wote walio kwenye categories tofauti. Na atakayepata tuzo hongera atakaye kosa akubali matokeo.
 
haya wale wa live streaming, le mutuz aka le akili kubwaz anatusogezea tukio zima kupitia blog yake ""blog ya wananchi"" live you know.....
 
Jamani eee tukio si ndo limenukiaaa?..
Alafu king yupo dalas.
Kama vipi ngoja nikazipokee izo tuzo .
 
Back
Top Bottom