Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Huyo Joh Makini ni kwasababu ya 2.
1.Meneja wa TBL ni Mchagga,2.Arusha inaonekana wana kunywa sana Bia.3.ni Rafiki yake hakuna ambae hajui Hilo,Huyo JOH Makini jamani??????zero kabisa!
Anyway wao ndo wameandaa na wana influence nani ashinde Kaka!
Ndo Maana tuzo zimepoa sanaaaa

Eeeeee,!!!!!!!! Amaaaaa kweeeli
 
Acha tu hapa nilipo nimeshikiliwa maana naweza kuanguka japo nimekaa....lol
Bora wamtaje Jux ili kuzima beef maana akiwa kiba au Diamond yaani sipati picha zile team wakiongozwa na le mutuz
 
Huyo Joh Makini ni kwasababu ya 2.
1.Meneja wa TBL ni Mchagga,2.Arusha inaonekana wana kunywa sana Bia.3.ni Rafiki yake hakuna ambae hajui Hilo,Huyo JOH Makini jamani??????zero kabisa!
Anyway wao ndo wameandaa na wana influence nani ashinde Kaka!
Ndo Maana tuzo zimepoa sanaaaa
Mhhhhh kwanini uhusishe uchaga na ARUSHA kupokea tuzo aisee wala ushindi hauhusiki na unywaji wa Bia. Tuzo unaweza isiwe fair lakini si kwa hizo sababu ulizotoa.
Harsty generalization ni false.
 
+Zimebaki category ngapi maana kuna watu walisema leo wanabeba zote 7.

+Hivi ile record itavunjwa kweli ngoja tuone.
 
Huyo Joh Makini ni kwasababu ya 2.
1.Meneja wa TBL ni Mchagga,2.Arusha inaonekana wana kunywa sana Bia.3.ni Rafiki yake hakuna ambae hajui Hilo,Huyo JOH Makini jamani??????zero kabisa!
Anyway wao ndo wameandaa na wana influence nani ashinde Kaka!
Ndo Maana tuzo zimepoa sanaaaa

mnaumiza akili Sana juu ya huyu dogo, mweusi kapiga kazi last year
 
hivi huyu kocha wa zamani wa man u lazima mchupi uonekane
 
Wanaosema Fid kaonewa
Fid katoa nyimbo gani zilizohit?
Hiyo bongo hiphop video kama katengenezea bafuni.
Joh kafanya kazi kubwa sana Fid tatizo anajiona anajua ila mashabiki mwisho wa siku ndio wasikilizaji anatakiwa atunge kile ambacho sisi tukisikiliza tutampa yeye sapoti. Mtu hata show sijawahi sikia anatangaza sasa kwa nini ashinde hii tuzo

Unachosema nikweli mkuu" Fid ajatoa ngoma hata1 iliyohit vp apewe. Joh katoa I see me #Xo Nikumbatie NusuNusu Fid yukwapi. Acha Joh abebe tu anafanya kazi
 
Back
Top Bottom