Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Ila timu zenu humu mnakimbizana mbaya sana hata mkikutana ana kwa ana mnaweza chapana ngumi
Kuna watu wana take so serious sana aisee wangekua watu wanaishi kitaa kimoja. Wangeweza kuvunjana. Tatizo watu hawaheshiamiani na kuthamini wenzao wakiaminicho basi.