Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Hivi ni lini Diamond aliongea hayo maneno? Diamond hakuwai kusema hayo maneno bali yamesemwa na GPL!
 
Huyo faiza ni nani? Au mmbongo movie?

Ni mke wa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi!
Ni shemeji wa John Mnyika Mungi Crashwise na pia shemeji wa Slaa na Mbowe! Pia ni wifi wa Halima mdee...! rose mayemba! Pia ni wifi na shemeji wa Bavicha na Bawacha!

Kiufupi ni kamanda na tukichukua nchi lazima awe waziri wa utamaduni na mavazi...
Peopleees....
 
Last edited by a moderator:

Haya tumekusikia tuma salamu!
 
Last edited by a moderator:
is true anajua sana and what happened last night it was only because of poor vigezo vya kuwapata washindi ikiwepo ya kufanya kula za watu ndo zitoe ushindi wakati kila shindano the last people to decide ni majaji so stop saying your stupid things if hutampigia kula wapo wataompigia.... i hate these kind of people ambao hawjui hata wanaandika nini... rudi darasanai

Kigezo kikubwa ni kura ambazo yeye alisema tusimpigie sasa mnalialia nini si.mlikataa wenyewe??? Mbona hizi za mtv anaweka mabango, aweke jeuri na huko aone
 
Na akose tu,hamna tena jinsi. Kumpigia mwaka jana mlisema kwa kuwa anaiwakilisha Tanzania na tuweke uzalendo mbele. Sahv hata sitopiga tena maana mkishinda mnajisahau mnamuona anajua zaid ya wote. Ataishia kupata video bora bongo tena mwisho mwaka huu

Hahahahaaa, mkuu umenivunja mbavu.
Na AKOSE tu maana hakuna namna nyingine. ...
 
Kigezo kikubwa ni kura ambazo yeye alisema tusimpigie sasa mnalialia nini si.mlikataa wenyewe??? Mbona hizi za mtv anaweka mabango, aweke jeuri na huko aone

Hahahahaaa, vipi SHWARIIIII?
 
+hapa Diamond kukosa tuzo nyingi yatasemwa mengi, kila skendo ya Diamond itaunganishwa na ukosaji wa tuzo nyingi (tena nasema nyingi kwa sababu hakukosa kabisa).

+sasa hawa kina Belle 9 waliokosa kabisa hawakupata hata moja walimdharau nani? Au walikua na skendo gani?

+haya wakati Diamond anazibeba hizi tuzo kwa wingi hakua na skendo hata 1?

+haya Diamond kachukua tuzo 2 nyinyi mlitaka achukue ngapi labda ili asionakane ana dharau?
 
Hizi timu zitarudsha mziki wa bongo nyuma kama soka linavyoshuka kila siku.

Mwisho wa siku bongofleva itabaki historia kama taifa stars ya 90s.

Tuache ushabiki tusapoti kitu kizuri majigambo kwa msanii ni Sehemu ya sanaa anayofanya.
 
Utata akienda msalan maana hyo kuivaa sichini ya dak30
 
Back
Top Bottom