Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,439
- 1,962
Hawa sponsors nao wawe waangalifu kwa sababu kwa matokeo haya wala jhamna msisimko tena. Na kwa aina ya upigaji kura yaani hata kama wimbo wako ni mbaya ukipata tu promotion na ushabiki wa kupigia kura basi unashinda.
Hamna mtu yoyote ataamini matokeo hayo including Ali Kiba mwenyewe it is so bada as ushindi wa kubebwa.
Jamani hata uende darasa la kwanza seriously mtumbuizaji bora ni Ali Kiba?!?!?!?. hata ukiwa Team Kiba kweli moyoni unaamini hivyo? kwa utumbizaji gani?!?
Wimbo biora wa mwaka Mwana DSM sijui???? Vs Nani kama Mama. Waandaaji na sponsors tafuteni namna bora ya assessment otherwise mtaua muziki wa Tanzania na kushusha credibility yenu. Sponsor hata bidhaa mnayotangaza tutaanza iona ni feki kutokana na matokeo FEKI!