Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,009
- 2,934
Sawa Makonda aka tako boliboHakuna lolote
WANANCHI fanyeni kazi kuinua uchumi wenu 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Makonda aka tako boliboHakuna lolote
WANANCHI fanyeni kazi kuinua uchumi wenu 🐼
Ndivyo mlivyopanga? Haya njooniUmeandaa makalio lakini kwa ajili ya bakora
Huwa anamshauri nini??Makonda atamuangusha SAMIA, sijui kwa nini SAMIA hasikilizi ushauri wa DGIS anaopewa kila mara
Tuliza kisimi hiko mkuu. Kakimwagie maji ya moto upunguze mihemkoHakuna mtu mwenye akili ataandamana kisa Wachaga.
Tutaumia Sisi wananchi tusio na hatiaSamia awekewe vikwazo
UWT mbona leo mnawasiwasi sn?Hakuna lolote
WANANCHI fanyeni kazi kuinua uchumi wenu 🐼
Huyu nitapeli kama matapeli wengine tu
Hao UWT hawana akili wanawaza kula pekeealafu ukijikita ukapata uchumi mzuri wanakuja kukubeba wanakuua kimya kimya una acha ugali wako tena
Acha kua na nidhamu ya uoga JohHakuna lolote
WANANCHI fanyeni kazi kuinua uchumi wenu 🐼
Tuache na namba ya shemeji tutakuwa tunamsalimia Sisi wanaharakati wenzioNiko barabarani naandamana mkiona kimya mjue nimepigwa risasi
Naungana na Hayati Magu siasa ni kipindi cha uchaguzi na kila mtu jimboni kwake!Wakuu,
Siku ya waliyosema chadema kufanya maanadamano kwaajili ya kupinga utekaji na watu kuuliwa na watu wasiyojulikana imefika,
Tangazo hili lilitolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Septemba 11, 2024, ambapo alisema wataingia barabarani endapo wanachama wao waliopotea hawatarudisha na kama serikali haitawajibika ikiwa ni pamoja na kujiuzulu kwa viongozi husika.
Ratiba ya maandamano ilitolewa Jumamosi tar 21 Peptemba 2024 baada ya kuwa serikali haijatekeleza takwa lolote kati ya yale yaliyotolewa na CHADEMA kuhakikisha kuna uwajibikaji.
Fuatilia uzi huu kwa matukio ya moja kwa moja kwa siku ya leo na yatakayojiri kwenye maandamano hayo.
=====
Asubuhi imeanza kwa kwa taarifa ya Lissu kuzingirwa na polisi na kutakiwa kwenda kuripoti katika ofisi ya RCO Kinondoni, ambapo amekubali kwenda kuitikia wito.
Kalio kalio kweli dadeqSawa Makonda aka tako bolibo