Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Niko Ilala Mtaa wa Arusha, Naanzia kituo cha Boma
Wacha propoganda uchwara.Weka picha tuone huo ukweli.Hata mimi naweza kusema nipo juu ya Mlima Kilimanjaro.Support your statement with evidence.
 
Hakuna kiroboto wala paka wa CHADEMA hata mmoja kaingia barabarani mpaka sasa. Hata Erythrocyte na Msanii tunao humu wanaandamana kwa kuandika tu
Tatizo lenu wana ccm hamna uwezo wa kushindana na upinzani hasa chadema bila ya kutumia policcm kubakia hapo. Ni sheria ipi inayokataza watu kuandamana kwanini policcm wavunje sheria ya kuzuia watu kupaza sauti zao pale panapotokea matukio yanayosababishwa na nyinyi?

Mnafurahia hayo yanayotokea kisa sio mwanawafamilia yako ya wanaouliwa na policcm wakishirikiana na ccm wenyewe.

Ndio maana hufurahia sana policcm au ccm wenyewe wanapofikwa na matatizo nje ya ubinadamu, zikipinduka kama gari tatu nne hivi za policcm na kufariki hapohapo itakuwa jambo jema.
 
Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji nyara, kupotea kwa watu na mauajo ya raia. Wananchi wamelinyooshea kidole jeshi la polisi kutokana na mazingira ya upoteaji wa watu. Watu wengi wameripotiwa kupotea baada ya kuitwa vituo vya polisi.

Tupeane updates za picha na matukio yanayojiri kwenye maandamanp haya ya haki.

Tukutane barabarani.

=======UPDATES======

View attachment 3103924

View attachment 3103926
Tundu Lisu akamatwa ahsubuhi hii
Nyumba yake kumbe haina mageti kama ya Boni Yai.Ni kama hizi za kwetu.
 
Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji nyara, kupotea kwa watu na mauajo ya raia. Wananchi wamelinyooshea kidole jeshi la polisi kutokana na mazingira ya upoteaji wa watu. Watu wengi wameripotiwa kupotea baada ya kuitwa vituo vya polisi.

Tupeane updates za picha na matukio yanayojiri kwenye maandamanp haya ya haki.

Tukutane barabarani.

=======UPDATES======

View attachment 3103924

View attachment 3103926
Tundu Lisu akamatwa ahsubuhi hii

Jamani maombi yenu, jamaa wanamchukua
 
Kuna uwezekano mkubwa kuwa hayo magari ya polisi hayajabebwa askari wa kutuliza ghasia (Field Force Unit (FFU)). Yaani, hao ni makomandoo ndani ya uniform ya FFU!!

ilala-boma-px.jpg
Ah..ah...
 
Wakuu,

Siku ya waliyosema chadema kufanya maanadamano kwaajili ya kupinga utekaji na watu kuuliwa na watu wasiyojulikana imefika.

Fuatilia uzi huu kwa matukio ya moja kwa moja kwa siku ya leo na yatakayojiri kwenye maandamano hayo.

Asubuhi imeanza kwa kwa taarifa ya Lissu kuzingirwa na polisi na kutakiwa kwenda kuripoti katika ofisi ya RCO Kinondoni, ambapo amekubali kwenda kuitikia wito.
🔨🔨🔨🔨

View: https://www.instagram.com/reel/DAOsTEDgnAj/?igsh=NDFvcDd6czZjYzlp
 
Wakuu,

Siku ya waliyosema chadema kufanya maanadamano kwaajili ya kupinga utekaji na watu kuuliwa na watu wasiyojulikana imefika.

Fuatilia uzi huu kwa matukio ya moja kwa moja kwa siku ya leo na yatakayojiri kwenye maandamano hayo.

Asubuhi imeanza kwa kwa taarifa ya Lissu kuzingirwa na polisi na kutakiwa kwenda kuripoti katika ofisi ya RCO Kinondoni, ambapo amekubali kwenda kuitikia wito.
Kwa Lissu wamechemka Sana, hawataweza KAMWE
 
Nimekusoma sana mkuu '1000digits',; lakini huu mstari pekee ndio ulio amsha hisia zaidi ya yote uliyoweka kwenye andiko lako refu.
Hakuna namna nyingine ya kuyatazama haya yanayo tokea ndani ya nchi hii wakati huu.

Namna nyingine ilikua ni Rais kuweka pembeni ubabe na kuunda tume ili ichunguze na kubaini tatizo.Kisha ile ripoti ndiyo aitumie kutoa maelekezo kwa vyombo vyake vya dola.

Rais ameshindwa kusimama kama Raisi kwenye nchi ya kidemokrasia .
Ile Hotuba yake inatolewa kwenye nchi za kidikteta ambazo Majeshi ndiyo yanayosimama kusukuma agenda za kisiasa kulinda serikali kuhofia kupinduliwa na wanajeshi maana mapinduzi ya kijeshi ndiyo yanayomtoa Rais madarakani lakini maandamano ya wananchi yanampa nafasi Rais ama kujiuzulu au kukubaliana na matakwa yao na sio matakwa ya Majeshi.

Rais akiongoza kwa matakwa ya majeshi anafanya mapinduzi yeye na kuitawala nchi kijeshi badala ya kufuata katiba na sheria iliyomweka madarakani kidemokrasia

Njia mbadala ya kutatua matatizo yanayotokana na vyombo vya dola kuumiza na kuteka watu ni wahusika kujizulu na rais kuunda tume ili jeshi zima lisichafuliwe na kuchukwa na wananchi ambao ndio waajiri wao
 
Ooh raisi wa kike kwa kuwa ni mwanamke ana huruma hvyo Bora awe mwanamke. Mwanamke ni mama. Kiko wapiiiiiiii hebu ninyamaze mimi
 
Back
Top Bottom