Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
Mawazo yako ni ya busara. Atakayekupinga ni mpumbavuSalaam
Hapa gomz mwisho wanapotengeneza stand ya mwendokasi.
Imepaki chuma moja mpyaa ( Mercedes-Benz) spesho kwa ajili ya kutawanya wanao sema wataandana leo.
Najua kila upande wana point zao na msingi kuandamana/kuzuia maandamano , Kwangu mimi naona ndugu zangu tufanye kazi tu kwa uwaminifu na kufuata sheria za nchi. Mapungufu yapo kwa serikali ila fikiria sana familia yako kabla hujaandamana.
Najua mtanitukana sana kwenye comment ila habari ndio hiyo.
Nawasilisha.
Akili za kijinga Kabisa Hizi, nipo MwembechaiSalaam
Hapa gomz mwisho wanapotengeneza stand ya mwendokasi.
Imepaki chuma moja mpyaa ( Mercedes-Benz) spesho kwa ajili ya kutawanya wanao sema wataandana leo.
Najua kila upande wana point zao na msingi kuandamana/kuzuia maandamano , Kwangu mimi naona ndugu zangu tufanye kazi tu kwa uwaminifu na kufuata sheria za nchi. Mapungufu yapo kwa serikali ila fikiria sana familia yako kabla hujaandamana.
Najua mtanitukana sana kwenye comment ila habari ndio hiyo.
Nawasilisha.
Ulivyo muoga umeogopa hata kupiga ka picha???
Habari bila picha ni sawa na mke kukunyima unyumba.
Kataa ndoa.
Huyu huku alikoingia siko, akazane na kugawa mafuta na udongo.
Kagawa tipa za udongo kama zoteHuyu huku alikoingia siko, akazane na kugawa mafuta na udongo.
Siasa zitampoteza