Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahaha.....wajulishe makamanda wenzetu😂😂😂Hivi ndiyo tuseme kweli serikali ndiyo imefikia this level of desperation kuhusu haka ka maandamano?
Mmefikia mpaka kutunga meseji ya uongo na kuisambaza?
"Makamanda, maandamano ya kesho yameahirishwa kufuatia maombi ya maaskofu. Kamati ya amani imeundwa chini ya viongozi wa dini. , wajulishe makamanda wenzetu!"
View attachment 3103783
AminaAmina!
Uzi unakimbia kwa kasi ya mwanga wa jua.Hio message ya uzushi ,propaganda,tumeiona na kuipuuza huku if ndo unapata habari za uhakika, maandamano yako pale pale, wameingia hofu wao, tusonge mbele hakuna kurudi nyuma.
Kwanza hii ya kulala nyumbani ndiyo njia bora snWangelala wapi. Maana wamewekewa vishushu kila kona
😂😂😂🙌Tunalishukuru saana Jeshi la Polisi kwa kufanya maandamano makubwa kabisa kuwahi kutokea kwa niaba ya Chadema,asanteni sana mumeionyesha dunia kuwa Tanzania kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na ukandamizaji wa demokrasia. Siku nyingine tukitangaza maandamano yetu mjitokeze hivi hivi.
Roho imekuuma sanaHakuna kiroboto wala paka wa CHADEMA hata mmoja kaingia barabarani mpaka sasa. Hata Erythrocyte na Msanii tunao humu wanaandamana kwa kuandika tu
HiihihiiiTunalishukuru saana Jeshi la Polisi kwa kufanya maandamano makubwa kabisa kuwahi kutokea kwa niaba ya Chadema,asanteni sana mumeionyesha dunia kuwa Tanzania kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na ukandamizaji wa demokrasia. Siku nyingine tukitangaza maandamano yetu mjitokeze hivi hivi.
Badboy for life. Aka Diddy huyuHizi ni propaganda za CCM
Walete ushaidi ya kwamba Mh Mboye yupo ARUSHA
Usikute umesoma Hadi chuo kikuuMbowe yupo chaka lake uko, lissu chaka lake, raia kila mtu na kona yake
yaani wameamua kula kona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KabisaKwanza hii ya kulala nyumbani ndiyo njia bora sn
Nilikuwa nakutafuta muda wote kumbe umekuja kujificha huku? Kwanini hujaandamana? Si ulisema utaandamana? Kwanini hujapeleka pua lako barabarani ili ufundishwe adabu na kutii sheria bila shuruti?Nimecheka kwa nguvu, hapo ndio Makonda anaona amecheza bonge la mindgame🤣 Kuna watu bado wanamuamini Makonda na jeshi la polisi wakitoa taarifa? Kama rais anasema ana bonge la intelijensia kisha anarmtoa ushahidi wa clip ya Slaa ya miaka kibao iliyoko mitandaoni, hapo bado mtapata wa kuamini huo utoto wa Makonda?
Jeshi la Polisi limeandamana kwa niaba yetu na kufikisha ujumbe wetu.Hakuna kiroboto wala paka wa CHADEMA hata mmoja kaingia barabarani mpaka sasa. Hata Erythrocyte na Msanii tunao humu wanaandamana kwa kuandika tu
Wee kubwa wa hovyo mbona hujaandamana?Jeshi la Polisi limeandamana kwa niaba yetu na kufikisha ujumbe wetu.
nimeishia la saba mkuuuUsikute umesoma Hadi chuo kikuu
Uoga wenye faida, kwanini ukavunjwe mguu wakati wahisani pesa yote wanampatia Mbowe halafu anakula yeye na familia yake na wewe ukiwa hoi kitandani pale MOI hakupi hata senti tano ya matibabu?.🤣 nyoosha maelezo, acha blah blah blah, sisi watanzania ni waoga mno, hata mimi ni muoga sana 🤣
Mimi ni Muoga sana, wewe je?
Hakika wametusaidia kufikisha ujumbe wetu kwa gharama za serikali.POLICE wameandamana kwa niaba ya Watanganyika wote..KUDOs