Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahaha.....wajulishe makamanda wenzetu😂😂😂Hivi ndiyo tuseme kweli serikali ndiyo imefikia this level of desperation kuhusu haka ka maandamano?
Mmefikia mpaka kutunga meseji ya uongo na kuisambaza?
"Makamanda, maandamano ya kesho yameahirishwa kufuatia maombi ya maaskofu. Kamati ya amani imeundwa chini ya viongozi wa dini. , wajulishe makamanda wenzetu!"
View attachment 3103783