Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi ndiyo tuseme kweli serikali ndiyo imefikia this level of desperation kuhusu haka ka maandamano?

Mmefikia mpaka kutunga meseji ya uongo na kuisambaza?

"Makamanda, maandamano ya kesho yameahirishwa kufuatia maombi ya maaskofu. Kamati ya amani imeundwa chini ya viongozi wa dini. , wajulishe makamanda wenzetu!"

View attachment 3103783
Hahaha.....wajulishe makamanda wenzetu😂😂😂
 
20240923_103414.jpg

Liiiveee bila chenga
kumeanza kuchangamka
 
Tunalishukuru saana Jeshi la Polisi kwa kufanya maandamano makubwa kabisa kuwahi kutokea kwa niaba ya Chadema,asanteni sana mumeionyesha dunia kuwa Tanzania kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na ukandamizaji wa demokrasia. Siku nyingine tukitangaza maandamano yetu mjitokeze hivi hivi.
😂😂😂🙌
 
Tunalishukuru saana Jeshi la Polisi kwa kufanya maandamano makubwa kabisa kuwahi kutokea kwa niaba ya Chadema,asanteni sana mumeionyesha dunia kuwa Tanzania kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na ukandamizaji wa demokrasia. Siku nyingine tukitangaza maandamano yetu mjitokeze hivi hivi.
Hiihihiii
 
Nimecheka kwa nguvu, hapo ndio Makonda anaona amecheza bonge la mindgame🤣 Kuna watu bado wanamuamini Makonda na jeshi la polisi wakitoa taarifa? Kama rais anasema ana bonge la intelijensia kisha anarmtoa ushahidi wa clip ya Slaa ya miaka kibao iliyoko mitandaoni, hapo bado mtapata wa kuamini huo utoto wa Makonda?
Nilikuwa nakutafuta muda wote kumbe umekuja kujificha huku? Kwanini hujaandamana? Si ulisema utaandamana? Kwanini hujapeleka pua lako barabarani ili ufundishwe adabu na kutii sheria bila shuruti?
 
🤣 nyoosha maelezo, acha blah blah blah, sisi watanzania ni waoga mno, hata mimi ni muoga sana 🤣


Mimi ni Muoga sana, wewe je?
Uoga wenye faida, kwanini ukavunjwe mguu wakati wahisani pesa yote wanampatia Mbowe halafu anakula yeye na familia yake na wewe ukiwa hoi kitandani pale MOI hakupi hata senti tano ya matibabu?.
 
Back
Top Bottom