Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
MANENO YA WAU WALIOKATA TAMAAAA CHADEMA AKA MBOWE SACCOS MMEFELI PAKUBWA SANA HAMUWEZI KUSHINDANA NA DOLA YAAANI MMELEGEA NDIYO MAANA MANGE HUWAGA ANAWAITA WOTE NI MADEMU HAMUWEZI KAZI
 
Jeshil letu pendwa la Polisi limeandamana kwa niaba yetu tena kwa gharama za serikali au hujawaona wewe? Akili kubwa sana imetumika ila kwa mwenye akili kisoda kama wewe huwezi kuelewa. We are ahead of CCM always.
Embu acha ujinga wako hapa.nenda kaandamane haraka sana ili upunguzwe urefu wa miguu yako.
 
HAHAHAA MUMEUFYATA MPAKA AIBU MACHADEMA
 
Embu acha ujinga wako hapa.nenda kaandamane haraka sana ili upunguzwe urefu wa miguu yako.
Polisi wameshaifanya kazi tuliyowatuma kwa ufanisi mkubwa sana, hapa nipo nakula kitimoto nashushia na John Walker yangu karibu tufurahie maisha, nipe namba nikupe location.
 
Niko hapa morocco darajani, hujaona nimevaa shati jekundu lenye nembo ya M4C?
nakuona hapo juu ya daraja kwenye bango kubwa la picha ya Rais Samia akiwa na BAWACHA, halafu na wewe umetokezea vizuri hapo na huo mtisheti wako wa4C🀣

au umeshapiga picha tayari?

shuka huku chini basi, maandamno ni chini babu japo hakuna, njoo hapa jamaa wanakochoma mihogo na juice ya miwa hapa. Gari nimepaki Airtel πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…