Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Cha kwanza ni uoga, hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana 🤣

Mimi ni Muoga sana, wewe je?
Mimi ni muoga kufuata mkumbo, mimi ni mtu mzima, najua kutofautisha upuuzi na ukweli!

Wanaharakati na wanasiasa wote wanaoongoza hizi movement uchwara ni wanafiki na waongo, siwezi kuingia kwenye movement iliyoasisiwa na inayoongozwa na watu wanafiki na waongo.

Siwezi kuwafuata wanaharakati na wanasiasa ambao hawaishi wanachokihubiri.
 
Kama cdm imekufa, na polisi wana sura ya uchovu wa usingizi hadi muda huu, sijui ingekuwa hai ingekuwaje. Hiyo ni ishara kuwa uhai wa ccm ni vyombo vya dola tu.
 
Attachments

  • 20240923_105848.jpg
    20240923_105848.jpg
    97.7 KB · Views: 1
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.

Hata hao askari wenyewe ni waoga tu. Kama wasingekuwa waoga wangekataa kutumika na ccm. Au wangekaza/wangekataa kukubali maagizo toka juu.

Bado hakijatokea kizazi ambacho kipo tayari kupigwa, kufungwa, kufa juu ya masuala ya kisiasa.

Hakuna vijana wa kufatilia au kutaka kuhusika na masuala ya aina hiyo.
Vijana wako bize na mipira, miziki, mitandao,mikeka ya kubeti, minguvu ya kiume, mapenzi, kukata mauno, matamasha, tamthilia na misambwanda

Narudia tena

Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
We huogopi😂
 
Kama cdm imekufa, na polisi wana sura ya uchovu wa usingizi hadi muda huu, sijui ingekuwa hai ingekuwaje. Hiyo ni ishara kuwa uhai wa ccm ni vyombo vya dola tu.
Ila hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojia
 
Hii ni aibu kwa hili taifa,soka yuko hai mahututi na hana jino hata moja alipata kipigo cha mwizi
 
Ila Chadema umejua kuyachezea akili hii Gavulumenti ya Kijuha.

Chadema imaifanya serikali itumie pesa unnecessarily kulipa posho maaskari huku ufike wao Chadema wakipanga kutoingia barabarani. Gavulumenti brainless kabisa! 😆🤣
 
Kama cdm imekufa, na polisi wana sura ya uchovu wa usingizi hadi muda huu, sijui ingekuwa hai ingekuwaje. Hiyo ni ishara kuwa uhai wa ccm ni vyombo vya dola tu.
Ila Chadema ni next level kwa kweli, wamewapigisha kwata hawa manjagu kwa wiki nzima sasa na kuufikisha ujumbe wao kwa gharama za serikali yenyewe, akili kubwa ni akili kubwa tu .
 
Mimi ni muoga kufuata mkumbo, mimi ni mtu mzima, najua kutofautisha upuuzi na ukweli!

Wanaharakati na wanasiasa wote wanaoongoza hizi movement uchwara ni wanafiki na waongo, siwezi kuingia kwenye movement iliyoasisiwa na inayoongozwa na watu wanafiki na waongo.

Siwezi kuwafuata wanaharakati na wanasiasa ambao hawaishi wanachokihubiri.
Acha visingizio, we sema tu ni Muoga 🤣

Mimi ni Muoga sana, wewe je?
 
Ila Chadema umejua kuyachezea akili hii Gavulumenti ya Kijuha.

Chadema imaifanya serikali itumie pesa unnecessarily kulipa posho maaskari huku ufike wao Chadema wakipanga kutoingia barabarani. Gavulumenti brainless kabisa! 😆🤣
Lengo la CHADEMA ilikuwa ni kuwapima POLISI wa Tanzania?
 
Nilikuwa nakutafuta muda wote kumbe umekuja kujificha huku? Kwanini hujaandamana? Si ulisema utaandamana? Kwanini hujapeleka pua lako barabarani ili ufundishwe adabu na kutii sheria bila shuruti?
Niko hapa nasubiri nikuone ww na mumeo na watoto wako mkinifundisha kutii sheria. Umevaa dera la rangi ngani?
 
Back
Top Bottom