KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Kwa hiyo mimi ndi nampa maelekezo Mrema afanye kazi za katibu mkuu wa chama wakati katibu mkuu yupo? Wewe unaona ni sawa? Leo hii Lema ni msmaji wa chama kuliko hata makamu Mwenyekiti wa Chama .Kama si ukabila ni nini?Hata Mzee Ally Kibao alikuwa mchaga wa machame
Ni upambavu kushabikia ukabila kwenye Karne ya 21
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa!Sasa mtaandamana kivipi tena, huku matumbo yenu yakiwa yanakaribia kuvimbiwa kutokana na unyonyaji mnaowafanyia Watanganyika!!
Airmanula weweZanzibar State
Hao ngedere wanakula mihogo?Niko kijijini Nkotokwiana, nimeamka najiandaa kwenda shamba kuna palizi ya mihogo inaningoja na kuamia ngedere. Nitakuwa nawacheki polepole kujua mnavyoendelea.
Huyo jamaa Erythrocyte alitutangazia hapa eti waandanaji kutoka mikoani wamemiminika Dar!Vipi mbona uko.kimya sana Erythrocyte unaumwa au?
Leo umeandamana kutoka sebuleni kwenda chooni sijakuona barabarani
Kumbe aliandamania bafuni ..wamemkamatia Nini hasa ?😁Kwake nasikia alijifungia bafuni wakavunja mlango kumtoa
Ni vibwekaHahaha sasa Dr Slaa mzee wa watu kajichokea wana shida naye ya nini?
Leo umemuonea huruma Mbowe? Hongera.Iko siku hawa watakuja kuitwa mashujaa wa demokrasia. Ni kama Hichilema wa Zambia. Ilikuwa hekima kumuacha mbowe aende mpaka mnazi mmoja ahutubie hata kama ni watu 5 ili tujue nguvu yake. Hahaha
Urojo TU!Unguja twadeka
Wazazi wako walikosea sana kukuleta duniani! Fisi wewe!Ni Mara nyingine ya 'legacy' ya awamu tano imesaidia kuzima maandaano ya CHADEMA yaliyopangwa kufanyika siku ya leo.
Hapa naizungumzia ile legacy ya kupiga marufuku pombe Kali aina ya viroba ambayo iliwafanya watumiaji wa pombe ambao wengi wao ni vijana kuwa watukutu pindi wanapotumia.
Miaka Sasa bila uwepo was viroba mitaani na faida nyingi zimeonekana na zinaonekana na mojawapo ni ya kuzimika kwa maandaano siku ya leo.
Laiti Kama kusingekuwa na marufuku wa viroba Leo vijana hao wangekuwa maandamanoni lakini kutokana na marufuku hiyo vijana wamepotezea maandama hayo kwa kushiriki katika shughuli zao za kiuchumi za kila siku.
Ni mtazamo wa mlinda na mtetea 'legasi'