Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizo ni nyumba zao halali kabisa na ni haki yao kulala hapo.
Lakini ilikuwa ni utoto wa hali ya juuu au kutafuta excuse kwa makamanda wetu kuacha kushiriki maandamano kwa wao kulala kwenye nyumba ambazo kila kamanda kuanzia juu mpaka chini wanazifahamu.
Hapo hamna maandamano yoyote kwa sababu jeshi la polisi limeamua kufanya decapitation ya hali ya juu.
Watalala wapi ambako Intel ya polisi isijue?

View: https://www.instagram.com/p/DAQBOXeq3MX/?igsh=MWJsenUxdHhnMXFqNg==
 
Wangekuwa na akili wangezuia matukio ya kihalifu yaliyosababisha maandamano. Kusingekuwa na maandamano na raia wangefanya mambo yako kwa amani na utulivu.
Lakini kama ujuavyo, huku nguvu ni 99.9% na 0.1% ni akili.
Akili ni kama mimba. Kama una mimba, una mimba, kama hauna mimba hauna.

Hamna MTU mwenye akili kidogo au mwenye akili nyingi.

Ni eidha una akili au hauna akili
 
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.

Hata hao askari wenyewe ni waoga tu. Kama wasingekuwa waoga wangekataa kutumika na ccm. Au wangekaza/wangekataa kukubali maagizo toka juu.

Bado hakijatokea kizazi ambacho kipo tayari kupigwa, kufungwa, kufa juu ya masuala ya kisiasa.

Hakuna vijana wa kufatilia au kutaka kuhusika na masuala ya aina hiyo.
Vijana wako bize na mipira, miziki, mitandao,mikeka ya kubeti, minguvu ya kiume, mapenzi, kukata mauno, matamasha, tamthilia na misambwanda

Narudia tena

Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Inategemea huo ujasiri unampigania nani
 
Hizo ni nyumba zao halali kabisa na ni haki yao kulala hapo.
Lakini ilikuwa ni utoto wa hali ya juuu au kutafuta excuse kwa makamanda wetu kuacha kushiriki maandamano kwa wao kulala kwenye nyumba ambazo kila kamanda kuanzia juu mpaka chini wanazifahamu.
Hapo hamna maandamano yoyote kwa sababu jeshi la polisi limeamua kufanya decapitation ya hali ya juu.
 
Attachments

  • 20240922_155031.jpg
    20240922_155031.jpg
    99.9 KB · Views: 1
Inategemea huo ujasiri unampigania nani
🤣
Acha blah blah blah au visingizio

Sisi watanzania ni waoga mno, hata mimi ni muoga sana 🤣

Na wewe ninakusoma sana, ni muoga sana 🤣. Unasifiasifia kutokana na uoga. Hali ni ngumu mtaani unaiona na unaishi kwenye hali ngumu na njaa. Ila kwa kuwa unapokea buku 7 na una matumaini ya uteuzi ndio maana unasifiasifia ila hata wewe ni Muoga tu 🤣

Mimi ni Muoga, wewe je?
 
Mbona polisi wamekuwa wengi kuliko waandamanaji. Polisi wangekuwa wengi hivi kila siku hakuna mtu angetekwa wala panya road angekatiza mtaani
 
Back
Top Bottom