The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Sasa watangaze maandamano Mbeya au mwanza uone chuma zitakavyo kimbilia huko 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watalala wapi ambako Intel ya polisi isijue?Hizo ni nyumba zao halali kabisa na ni haki yao kulala hapo.
Lakini ilikuwa ni utoto wa hali ya juuu au kutafuta excuse kwa makamanda wetu kuacha kushiriki maandamano kwa wao kulala kwenye nyumba ambazo kila kamanda kuanzia juu mpaka chini wanazifahamu.
Hapo hamna maandamano yoyote kwa sababu jeshi la polisi limeamua kufanya decapitation ya hali ya juu.
Akili ni kama mimba. Kama una mimba, una mimba, kama hauna mimba hauna.Wangekuwa na akili wangezuia matukio ya kihalifu yaliyosababisha maandamano. Kusingekuwa na maandamano na raia wangefanya mambo yako kwa amani na utulivu.
Lakini kama ujuavyo, huku nguvu ni 99.9% na 0.1% ni akili.
Inategemea huo ujasiri unampigania naniHakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Hata hao askari wenyewe ni waoga tu. Kama wasingekuwa waoga wangekataa kutumika na ccm. Au wangekaza/wangekataa kukubali maagizo toka juu.
Bado hakijatokea kizazi ambacho kipo tayari kupigwa, kufungwa, kufa juu ya masuala ya kisiasa.
Hakuna vijana wa kufatilia au kutaka kuhusika na masuala ya aina hiyo.
Vijana wako bize na mipira, miziki, mitandao,mikeka ya kubeti, minguvu ya kiume, mapenzi, kukata mauno, matamasha, tamthilia na misambwanda
Narudia tena
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Mmefikia wap muda huu na Mm nataka nijiunge nanyiNiko Ilala Mtaa wa Arusha, Naanzia kituo cha Boma
Hizo ni nyumba zao halali kabisa na ni haki yao kulala hapo.
Lakini ilikuwa ni utoto wa hali ya juuu au kutafuta excuse kwa makamanda wetu kuacha kushiriki maandamano kwa wao kulala kwenye nyumba ambazo kila kamanda kuanzia juu mpaka chini wanazifahamu.
Hapo hamna maandamano yoyote kwa sababu jeshi la polisi limeamua kufanya decapitation ya hali ya juu.
Heee Mbowe si ndio kiongozi ? Na ndie mla asali wa hii SACCOS?Chama chetu kikuu cha Upinzani kioga kwani si wangetoka ata wenyewe sio Mpaka Mbowe
Hivi hakumjua kuwa wanaondesha siasa za upinzani tanzania ni watu walikosa kazi ya kufanya na hakuwa na namna zaidi ya kutafuta maisha kupitia siasa ?Kila nchi ina wendawazimu ila hawa Watanzania wamezidi.
View: https://x.com/ChademaTz/status/1838108237528269134?t=igidxpLI1Bvm1jgRnzVFJg&s=09
Kwamba walihisi anaenda kwenye maandamano? Hii ni ishara kwamba muda si mrefu hata mwenyekiti naye akitoka anakamatwa.
🤣Inategemea huo ujasiri unampigania nani
Mashaallah, jeshi letu limejitolea huduma ya ulinzi pro bonoHii ndio taarifa iliyokoko Global Tv kwamba Mwenyekiti wa Chadema yuko nyumbani kwake na nje kuna Walinzi wa Amani
Ahsanteni sa