Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui hofu yao ni nini kwa huyo Mama, yani wanahaha kila konaDr Lilian Mtei awafungulie kesi hao maana watakuwa wamemkosesha deal zake za hela ,awafungulie kesi ya madai.
Wanapigwa na jua kutwa nzima na wakirudi kwenye vibanda vyao mbu wanawasubiriHiyo ndinga anayotembelea mke wa Mbowe hao askari waliomkamata mpaka wanastaafu hadi vijukuu vyao hawaji kumiliki, wakitoka hapo wanaenda kwenye vikota vyao vya bati kujifungia 😃
Kwani lengo la Chadema kutangaza maandamano ilikuwa ni Polisi kukusanyika Dar? Chadema walisema ije mvua, lije jua wataandama. Sasa sababu za eti Polisi wamekusanyika zinatoka wapi?Ipo hivi, CHADEMA walitangaza maandamano wakakaa kimya na kuendelea na shughuli zao za kila siku. Lakini tangu siku ile ya kutangazwa maandamano Polisi wamekuwa wakizunguka huku na kule mitaa yote ya Dar es salaam na hata Mikoa mingine.
Wamebeba silaha nzito nzito, mbwa, magari ya washawasha nk. Baadhi ya polisi yawezekana wametoka mikoa mingine.
Ebu tujiulize kidogo;
*Katika mkasa huu, nani mwoga zaidi?
*Nani ametumia gharama kubwa zaidi?
*Nani amedharaulika zaidi?
*Kimataifa nani amajijenga zaidi na nani amedharaulika zaidi?
*Kwa tathmini ya haraka, CHADEMA wana akili zaidi na wamejijenga zaidi kuliko watesi wao.
Sisi watanzania ni waoga mno, hata mimi ni muoga.Kila nchi ina wendawazimu ila hawa Watanzania wamezidi.
hii imenivunja mbavu 🤣🤣🤣
Acha blah blah blah au visingizio
Sisi watanzania ni waoga mno, hata mimi ni muoga sana 🤣
Na wewe ninakusoma sana, ni muoga sana 🤣. Unasifiasifia kutokana na uoga. Halia ngumu mtaani unaiona na unaishi kwenye hali ngumu na njaa. Ila kwa kuwa unapokea buku 7 na una matumaini ya uteuzi ndio maana unasifiasifia ila hata wewe ni Muoga tu 🤣
Mimi ni Muoga, wewe je?
Nipo Buguruni kwenye foleni hapa, muda si mrefu naingia Ilala bomaTukutane Mnazi mmoja
Freedom square
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yani una maanisha kila mtu anataka maandamano yatokee bila yeye kuhusika 😂
Mimi ni muoga kupambania Mbowe na Lisu ila jambo langu ni jasiri na utapiga uue🤣
Acha blah blah blah au visingizio
Sisi watanzania ni waoga mno, hata mimi ni muoga sana 🤣
Na wewe ninakusoma sana, ni muoga sana 🤣. Unasifiasifia kutokana na uoga. Halia ngumu mtaani unaiona na unaishi kwenye hali ngumu na njaa. Ila kwa kuwa unapokea buku 7 na una matumaini ya uteuzi ndio maana unasifiasifia ila hata wewe ni Muoga tu 🤣
Mimi ni Muoga, wewe je?
Siwezi vaa jezi ya man u hata kwa kulipwanaona mtu mwenye kapelo nyeusi kavaa jezi ya Man U, bilashaka ndio wewe gentleman , nakuja hapo hapo hapo kukujoin tuone uelekeo wa pamoja,
au walitangaza kuandamana n moja moja kila mtu kivyake na sio matita matita au makundi makundi?🐒
Umeona sio amefeli mipango mjini hapa.jasusi ktk ubora wakeKama alilala nyumbani kwake kuamkia siku ya maandamano kafeli sana.
View: https://x.com/ChademaTz/status/1838108237528269134?t=igidxpLI1Bvm1jgRnzVFJg&s=09
Kwamba walihisi anaenda kwenye maandamano? Hii ni ishara kwamba muda si mrefu hata mwenyekiti naye akitoka anakamatwa.
🤣🤣🤣🤣🤣Chadema walisema wamefanya maridhiano na Samia, leo Kiko wapi?
Wote hao waliungana kumtukana na kumkashifu marehemu eti alikuwa katili anauwa watu.
Ajabu leo Magufuli hayupo watu wanazidi kuuwawa na kupotea kuliko hata utawala wa mwenda zake.
Mama anaupiga mwingi!
YapKama Kenya tu maandamano ilikuwa kama sikosei Alhamis.
😂😂😂😂Acha kusingizia kusaka pesa, Sema ukweli tu kuwa wewe ni Muoga. Mimi nimekiri kuwa ni muoga sana.
Hakuna cha Saccos wala nini, hali ngumu ya maisha inamtesa kila mtu, hata wewe hali halisi unaionaHeee Mbowe si ndio kiongozi ? Na ndie mla asali wa hii SACCOS?