SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Na wameitumia haki hiyo vizuri sanaPolice pia wana haki ya kuandamana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wameitumia haki hiyo vizuri sanaPolice pia wana haki ya kuandamana
Haki haipatikani duniani Ustadh tuisubirie siku ya kiyama“Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa uadilifu, kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mashahidi kwa uadilifu. Wala chuki ya watu isikufanyeni kutenda isivyo haki. Tendeni haki; hiyo ndiyo iliyo karibu zaidi na ucha Mungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye khabari za yale myatendayo.
”Aya hizi zinafundisha kuwa haki lazima ipewe kipaumbele katika hukumu, na kuhukumu kwa usawa ni sehemu ya ucha Mungu. Qur'an inaweka msingi thabiti wa maadili ya haki katika hukumu na inawataka Waislamu kuwa waaminifu na waadilifu katika kila jambo la hukumu na maamuzi.
Kwamba wachaga pekee ndo wanao tekwa na kuoptezwa/kuuliwa?.Hakuna mtu mwenye akili ataandamana kisa Wachaga.
Ngoja tusubiriSisi ndo tunarusi Vikindu maandamano yamedoda
Duniani hakuna haki?Haki haipatikani duniani Ustadh tuisubirie siku ya kiyama
Kaondoka saa ngapi Arusha?Kuna tetesi Kuwa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ameibukia Magomeni mapipa
Source: Jambo TV
Kuteka na kupoteza..... ilirasimisha hivi karibuni.Unazijua SHUGHULI ZA POLISI ZA KILA SIKU
Duh!Uoga wenye faida, kwanini ukavunjwe mguu wakati wahisani pesa yote wanampatia Mbowe halafu anakula yeye na familia yake na wewe ukiwa hoi kitandani pale MOI hakupi hata senti tano ya matibabu?.
Muda utazungumza
Jeshil letu pendwa la Polisi limeandamana kwa niaba yetu tena kwa gharama za serikali au hujawaona wewe? Akili kubwa sana imetumika ila kwa mwenye akili kisoda kama wewe huwezi kuelewa. We are ahead of CCM always.Wee kubwa wa hovyo mbona hujaandamana?
Picha wapi?Kama cdm imekufa, na polisi wana sura ya uchovu wa usingizi hadi muda huu, sijui ingekuwa hai ingekuwaje. Hiyo ni ishara kuwa uhai wa ccm ni vyombo vya dola tu.
Mbona lile nyamitako linasema yuko Chuga?Kuna tetesi Kuwa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ameibukia Magomeni mapipa
Source: Jambo TV
Akili a toe wali ashalamba utoko was Bi chura kiziwi?Kazuiliwa kwake nyumbani na mapolisi, we uko dunia gani? Huna akili.
Kuna raia wa chadema kafa ? Au ni wanakwata wametangulia mbele ya haki ?AJALI APA MATAAA MAGOMENI
DAAAH