Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Mkuu, mko wap nijiunge nanyi kwenye maandamano?Kama cdm imekufa, na polisi wana sura ya uchovu wa usingizi hadi muda huu, sijui ingekuwa hai ingekuwaje. Hiyo ni ishara kuwa uhai wa ccm ni vyombo vya dola tu.