Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
🤣Visingizio gani sasa?
😂😂😂
Sentence ya kwanza kabisa nimekiri kuwa mimi ni muoga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Visingizio gani sasa?
😂😂😂
Sentence ya kwanza kabisa nimekiri kuwa mimi ni muoga.
Kula ushibe tu 🤣
Wapo nje ya nyumba yake tangu jana jioniKama alilala nyumbani kwake kuamkia siku ya maandamano kafeli sana.
Huku ni kujitekenya na kucheka mwenyewe.Ila Chadema ni next level kwa kweli, wamewapigisha kwata hawa manjagu kwa wiki nzima sasa na kuufikisha ujumbe wao kwa gharama za serikali yenyewe, akili kubwa ni akili kubwa tu .
Itakuwa kazi ya Mbowe hiyoHii ni aibu kwa hili taifa,soka yuko hai mahututi na hana jino hata moja alipata kipigo cha mwizi
Na hiyo siku nyingine ndio hawatapigwa?Kuna haja Gani watu waandamane na kupigiwa, au kuuwawa? busara zinasema mnairisha Hadi siku ingine.
Wanawake hamuwezi huu mtiti.Mkuu, mko wap nijiunge nanyi kwenye maandamano?
Ingekuwa hai watu wangekuwa washaandamana!Kama cdm imekufa, na polisi wana sura ya uchovu wa usingizi hadi muda huu, sijui ingekuwa hai ingekuwaje. Hiyo ni ishara kuwa uhai wa ccm ni vyombo vya dola tu.
Hatukiogopi Kifo Mkuu Tunaogopa Kufa Kwa Ajili ya Wapumbavu Wengi Wasojielewa Wanataka nini. Anyway Police wametusaidia kutuwakilisha Ujumbe UmefikaKula ushibe tu 🤣
Sisi ni waoga tu, hata mimi muoga tu 🤣
Akili kubwa tu ndiyo inaweza kuelewa, akili kisoda kama yako haiwezi kuelewa kamwe.Huku ni kujitekenya na kucheka mwenyewe.
Hiki kilichotokea leo Dunia nzima ilijua kitatokea, unext level wa CHADEMA unatokea wapi?
Watanzania kuogopa kuandamana baada ya kuwaona POLISI wametanda barabarani ni suala la kuisifia CHADEMA?
Hili ni suala la kuisikitikia CHADEMA, nguvu yao ya ushawishi haijai hata kwenye kisoda.
Pole sana mzee, si vizuri kila kitu tukakifanyia siasa...Baba mlezi wa Deusdedith Soka amejitokeza katika maandamano ya amani Ilala Sokoni. Azungumzia kupotea kwa Soka.
Your browser is not able to display this video.
Daddy....Hakuna posho wala nn, polisi wanafanya majukumu yao ya kila siku
Acha zako wewe!Akili kubwa tu ndiyo inaweza kuelewa, akili kisoda kama yako haiwezi kuelewa kamwe.
Mlaaniwa kama magufuli hawezi kutoa laana ndiyo maana yuko motoni sasa hiviLaana ya Magufuli inawatafuna
"Haiwezekani watu wanatekwa raisi anasema ni drama, lazima tuandamane"View attachment 3103980
" Leo lazima damu imwagike tumechoka na utawala wa mkoloni mweusi samia must go"