Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kwake nasikia alijifungia bafuni wakavunja mlango kumtoaLissu wamemkamatia wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwake nasikia alijifungia bafuni wakavunja mlango kumtoaLissu wamemkamatia wapi ?
acha usha biki wa kimamaKwake nasikia alijifungia bafuni wakavunja mlango kumtoa
Nimeona Aljazeera wametangaza polisi kukamata wapinzani kwasababu wanaandamana kupinga utekaji na mauwaji Tanzania.Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji nyara, kupotea kwa watu na mauajo ya raia. Wananchi wamelinyooshea kidole jeshi la polisi kutokana na mazingira ya upoteaji wa watu. Watu wengi wameripotiwa kupotea baada ya kuitwa vituo vya polisi.
======
Siku ya waliyosema chadema kufanya maanadamano kwaajili ya kupinga utekaji na watu kuuliwa na watu wasiyojulikana imefika,
Tangazo hili lilitolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Septemba 11, 2024, ambapo alisema wataingia barabarani endapo wanachama wao waliopotea hawatarudisha na kama serikali haitawajibika ikiwa ni pamoja na kujiuzulu kwa viongozi husika.
Ratiba ya maandamano ilitolewa Jumamosi tar 21 Septemba 2024 baada ya kuwa serikali haijatekeleza takwa lolote kati ya yale yaliyotolewa na CHADEMA kuhakikisha kuna uwajibikaji.
Fuatilia uzi huu kwa matukio ya moja kwa moja kwa siku ya leo na yatakayojiri kwenye maandamano hayo.
=======UPDATES======
View attachment 3103938
Magomeni muda huu. Naelekea katikati ya mji nifike Mnazi Mmoja
Asubuhi imeanza kwa taarifa ya Lissu kuzingirwa na polisi na kutakiwa kwenda kuripoti katika ofisi ya RCO Kinondoni, ambapo amekubali kwenda kuitikia wito.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameeleza kupitia mitandao ya kijamii kuwa tangu jana usiku mpaka asubuhi ya leo Septemba 23, 2024 Jeshi la Polisi limefunga barabara zote zinazoelelea nyumbani kwa mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe.
Chama hicho kimeeleza kuwa watumiaji wote wa barabara hiyo wanasimamishwa na kukaguliwa, wakiulizwa kama wanaenda kwenye maandamano.
CHADEMA wameripoti kuwa mapema leo Jeshi la Polisi wameingia nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara kisha kuondoka nae bila kusema wanampeleka wapi.
CHADEMA imeripoti kuwa Jeshi la Polisi limemzuia Dr. Lilian Mtei, Mke wa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe akiwa anatoka nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam.
WAKILI WA CHADEMA: TUNDU LISSU AMEKAMATWA AKIWA NYUMBANI KWAKE TEGETA
Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amekamatwa na polisi asubuhi ya leo Jumatatu, Septemba 23, 2024.
“Lissu amekamatwa nyumbani kwake Tegeta na amepelekwa Kituo cha Polisi Mbweni na mimi kama wakili niko njiani nakwenda huko kujua sababu za kukamatwa kwake
MAKONDA: KAKA YANGU MBOWE KUMBE UPO ARUSHA NA HAUSEMI
Wakati Chama Cha Demokrasia na Maendelei Chadema kikitangaza kufanya Maandamano ya amani leo Jijini Dar Es salaam chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amechapisha mtandaoni mwake akisema anazo taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe yupo Arusha na hivyo kumualika ofisini kwake Jijini Arusha. Makonda ameandika "Kaka yangu Mbowe kumbe umeingia Arusha na hausemi. Karibu Ofisini basi ukiamua Kutoka"
MBOWE AJITOKEZA MAGOMENI, AKAMATWA NA POLISI
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amekamatwa na Polisi eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Septemba 23, 2024.
Kabla ya Mbowe kukamatwa, alifika eneo hilo akiwa na gari dogo, kisha kuanza kuzungumza na waandishi wa habari.
Kwa mujibu wa Mbowe, wameamua kuwekea mkazo suala la maaandamano, baada ya maombi ya mahitaji, ikiwemo kutaka kujiuzulu kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, viongozi waandamizi wa ulinzi na usalama kama sehemu ya uwajibikaji.
Baba mlezi wa Deusdedith Soka amejitokeza katika maandamano ya amani Ilala Sokoni. Azungumzia kupotea kwa Soka.
Jeshi la Polisi likiendelea kuwakamata waandamanaji maeneo ya Ilala Boma.
JESHI LA POLISI LATHIBITISHA KUWAKAMATA WAANDAMANAJI 14 IKIWEMO VIONGOZI WA CHADEMA
Jeshi la Polisi limetoa taarifa rasimi ya kuwakamata watu 14 ikiwemo baadhi ya Viongozi wa Chadema, Mwenyekiti Freeman Mbowe, Lissu na Lema, ambapo wamedai kuwa viongozi hao wamekamatwa kufuatia mpango wa maandamano.
Wanawashikiria kwa sasa wanahojiwa kwa ajili ya hatua za kisheria.
Kamanda Muliro ametangaza kuwakamata viongozi mbalimbali wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe, Tundu Lissu pamoja na Godbless Lema.
Imepenya zaidi iyo😂😂😂Nimeona Aljazeera wametangaza polisi kukamata wapinzani kwasababu wanaandamana kupinga utekaji na mauwaji Tanzania.
Sio dhambi, ila maandamano yaliwekewa narrative au label kuwa ni mabaya tokea awam ileeeeNajiuliza
Acha hasira kamandaacha usha biki wa kimama
Hahaha sasa Dr Slaa mzee wa watu kajichokea wana shida naye ya nini?Hata dr slaa wamemvamia nyumbani kwake wamemkuta mzee wa watu anaumwa wakaona aibu kumchukua ikabidi waondoke bila hata kumchukua
Tanzania watu wakiamua kukuvamia wanakuvamia tu, tuna hali Mbaya ya intelijensia. Kiufupi hatuna intelijisia yoyote. Just imagine Polisi wamezunguka nyumba ya mbowe toka ...
Yanga bingwaZanzibar hakuna rabsha na ujinga kama ndugu zetu