Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiongozi wa juu wa jumuiya ya wazazi CCM alipokuwa Channel 10 akifanya mahojiano amedai pigo waliopigwa Chadema inawezekana ikachukua mpaka miaka 25 kurecover.
"Nimewaona Mbowe, Lema na wengine wachache wakifanya mahojiano leo, kwa kweli walikuwa wameishiwa nguvu, walikuwa wamepoteza muelekeo, mentally, emotionally na psychologically
Wamekosa imani na wanachama wao,wamekosa imani na Bavicha, kwa sasa hivi mwenyekiti Mbowe mtu pekee anayemuamini ni mwanae Nicole na mkewe"
Ally Hapi ameshangaa hata kwanini Chadema huwa wanalalamika kuwa huwa wanaibiwa kura.
Wakitaka kufanikiwa watafute wadau ndani ya ccm. Bila hivyo wataendelea kuwa kama wale mbwa waliotajwa n mkuu wa nchi.
 
Ila tuache mzaha, yale yalikuwa maandamano ya maombolezo kuhusu watu waliotekwa na wengine kuuawa. Badala kufanya utani washauri watu waliotekwa watafutwe walipo na kukomesha mambo ya utekaji na mauaji. Pia watendaji walioshindwa kuzuia mauaji na utekaji wawajibike. Mbona hili suala la watekaji na wauaji halipewe kipao mbele na wahusika?
 
Huyu si alikuwa analima Leo kapewa cheo karudi kwenye kutukana. Watu wamekamatwa ulitaka wafanye maandamano wapi?
ametoa maoni na mtazamo wake ambao kwakweli ni bayana na muafaka sana,
hilo ni tusi kweli ndrugo zango?

kweli hata wewe ukitafakari kwa kina, chairman anaweza kumuamini nani tena Chadema zaid ya hao waliotajwa na AllyHapi 🐒
 
Kiongozi wa juu wa jumuiya ya wazazi CCM alipokuwa Channel 10 akifanya mahojiano amedai pigo waliopigwa Chadema inawezekana ikachukua mpaka miaka 25 kurecover.
"Nimewaona Mbowe, Lema na wengine wachache wakifanya mahojiano leo, kwa kweli walikuwa wameishiwa nguvu, walikuwa wamepoteza muelekeo, mentally, emotionally na psychologically
Wamekosa imani na wanachama wao,wamekosa imani na Bavicha, kwa sasa hivi mwenyekiti Mbowe mtu pekee anayemuamini ni mwanae Nicole na mkewe"
Ally Hapi ameshangaa hata kwanini Chadema huwa wanalalamika kuwa huwa wanaibiwa kura.
Wewe utakuwepo kipindi hicho?
 
Anajua anajidanganya, watu bado hawajatoa ya moyoni mwao wameamua kumpisha mwenye nguvu apite, ila kama haya mambo yataendelea iko siku siyo POLISI tu watamwagwa barabarani ila mpaka Jeshi na JKT wote hataweza kuwazuia wananch wakifika kwenye point no round to turnback.
 
Haka kamtu kalipata akili kakaanza kulima pilipili, leo kamerudishwa akili yote imepotea, ndio CCM hao
 
Waache wizi wa kura na kutumia vyombo vya usalama kukandamiza wapinzani, miaka 5 itakuwa mingi sana CCM kuendelea kutawala
 
Kungekuwa na freedom of information tungejua kiasi gani kilitumika kulinda raia kwa siku moja
Imagine kama wangekuwepo mitaani hivyo kwa miezi mitatu
 
Ila tuache mzaha, yale yalikuwa maandamano ya maombolezo kuhusu watu waliotekwa na wengine kuuawa. Badala kufanya utani washauri watu waliotekwa watafutwe walipo na kukomesha mambo ya utekaji na mauaji. Pia watendaji walioshindwa kuzuia mauaji na utekaji wawajibike. Mbona hili suala la watekaji na wauaji halipewe kipao mbele na wahusika?
Kuna watu wanaandika point humu km huyu ila watu km hawa wanaonekana viazi wanapuuzwa
 
Mbowe ndio maana uwa anaamini wachaga wenzie tu... Vyasaka wanakimbia kukiwa na msala
 
Kiongozi wa juu wa jumuiya ya wazazi CCM alipokuwa Channel 10 akifanya mahojiano amedai pigo waliopigwa Chadema inawezekana ikachukua mpaka miaka 25 kurecover.
"Nimewaona Mbowe, Lema na wengine wachache wakifanya mahojiano leo, kwa kweli walikuwa wameishiwa nguvu, walikuwa wamepoteza muelekeo, mentally, emotionally na psychologically
Wamekosa imani na wanachama wao,wamekosa imani na Bavicha, kwa sasa hivi mwenyekiti Mbowe mtu pekee anayemuamini ni mwanae Nicole na mkewe"
Ally Hapi ameshangaa hata kwanini Chadema huwa wanalalamika kuwa huwa wanaibiwa kura.
Huyu chizi amefufuka tena?
 
Hajashangaa kwanini serikali ya chama chake kimepeleka jeshi la nchi nzima Dar? Au ndiyo mandalizi ya kuiba kura ndiyo yanaandaliwa namna hii?
 
hayo ni maoni yake kitu ambacho inawezekana asielewe ni kuwa watawala wamesaidia kuiexpoze zaid chadema kimataifa na hata kwa wananchi mana siku zote ilizoeleka kuwa wanatangaza,maandamano lakini viongozi wao hawaonekani jana viongozi wameonekana na hiyo kisiasa ni pigo kubwa,sana kwa,chama tawala kwani sasa hivi mindset za,raia zimeanza kuamini kuwa yanayo semwa,na wapinzani nyana ukweli kbisa kitu ambacho ni hatari kwa taifa
ushauri wangu sasa ni muda hata kwa chama tawala kujitafakari kuwa siasa ni ushindani wa hoja na si ushindani wa mitutu ya,bunduki au vita ,,,
Mnatupa kazi sana sisi vijana wenu wa,UVCCM kukitetea chama kwa ground kwa,sasa
 
Back
Top Bottom