johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu atakuwa Shia 😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakitaka kufanikiwa watafute wadau ndani ya ccm. Bila hivyo wataendelea kuwa kama wale mbwa waliotajwa n mkuu wa nchi.Kiongozi wa juu wa jumuiya ya wazazi CCM alipokuwa Channel 10 akifanya mahojiano amedai pigo waliopigwa Chadema inawezekana ikachukua mpaka miaka 25 kurecover.
"Nimewaona Mbowe, Lema na wengine wachache wakifanya mahojiano leo, kwa kweli walikuwa wameishiwa nguvu, walikuwa wamepoteza muelekeo, mentally, emotionally na psychologically
Wamekosa imani na wanachama wao,wamekosa imani na Bavicha, kwa sasa hivi mwenyekiti Mbowe mtu pekee anayemuamini ni mwanae Nicole na mkewe"
Ally Hapi ameshangaa hata kwanini Chadema huwa wanalalamika kuwa huwa wanaibiwa kura.
Acha ukabila.Hakuna mtu mwenye akili ataandamana kisa Wachaga.
ametoa maoni na mtazamo wake ambao kwakweli ni bayana na muafaka sana,Huyu si alikuwa analima Leo kapewa cheo karudi kwenye kutukana. Watu wamekamatwa ulitaka wafanye maandamano wapi?
Wewe utakuwepo kipindi hicho?Kiongozi wa juu wa jumuiya ya wazazi CCM alipokuwa Channel 10 akifanya mahojiano amedai pigo waliopigwa Chadema inawezekana ikachukua mpaka miaka 25 kurecover.
"Nimewaona Mbowe, Lema na wengine wachache wakifanya mahojiano leo, kwa kweli walikuwa wameishiwa nguvu, walikuwa wamepoteza muelekeo, mentally, emotionally na psychologically
Wamekosa imani na wanachama wao,wamekosa imani na Bavicha, kwa sasa hivi mwenyekiti Mbowe mtu pekee anayemuamini ni mwanae Nicole na mkewe"
Ally Hapi ameshangaa hata kwanini Chadema huwa wanalalamika kuwa huwa wanaibiwa kura.
Anajua anajidanganya, watu bado hawajatoa ya moyoni mwao wameamua kumpisha mwenye nguvu apite, ila kama haya mambo yataendelea iko siku siyo POLISI tu watamwagwa barabarani ila mpaka Jeshi na JKT wote hataweza kuwazuia wananch wakifika kwenye point no round to turnback.Kiongozi wa juu wa jumuiya ya wazazi CCM alipokuwa Channel 10 akifanya mahojiano amedai pigo waliopigwa Chadema inawezekana ikachukua mpaka miaka 25 kurecover.
"Nimewaona Mbowe, Lema na wengine wachache wakifanya mahojiano leo, kwa kweli walikuwa wameishiwa nguvu, walikuwa wamepoteza muelekeo, mentally, emotionally na psychologically
Wamekosa imani na wanachama wao,wamekosa imani na Bavicha, kwa sasa hivi mwenyekiti Mbowe mtu pekee anayemuamini ni mwanae Nicole na mkewe"
Ally Hapi ameshangaa hata kwanini Chadema huwa wanalalamika kuwa huwa wanaibiwa kura.
Kuna watu wanaandika point humu km huyu ila watu km hawa wanaonekana viazi wanapuuzwaIla tuache mzaha, yale yalikuwa maandamano ya maombolezo kuhusu watu waliotekwa na wengine kuuawa. Badala kufanya utani washauri watu waliotekwa watafutwe walipo na kukomesha mambo ya utekaji na mauaji. Pia watendaji walioshindwa kuzuia mauaji na utekaji wawajibike. Mbona hili suala la watekaji na wauaji halipewe kipao mbele na wahusika?
Huyu chizi amefufuka tena?Kiongozi wa juu wa jumuiya ya wazazi CCM alipokuwa Channel 10 akifanya mahojiano amedai pigo waliopigwa Chadema inawezekana ikachukua mpaka miaka 25 kurecover.
"Nimewaona Mbowe, Lema na wengine wachache wakifanya mahojiano leo, kwa kweli walikuwa wameishiwa nguvu, walikuwa wamepoteza muelekeo, mentally, emotionally na psychologically
Wamekosa imani na wanachama wao,wamekosa imani na Bavicha, kwa sasa hivi mwenyekiti Mbowe mtu pekee anayemuamini ni mwanae Nicole na mkewe"
Ally Hapi ameshangaa hata kwanini Chadema huwa wanalalamika kuwa huwa wanaibiwa kura.
Hajashangaa kwanini serikali ya chama chake kimepeleka jeshi la nchi nzima Dar? Au ndiyo mandalizi ya kuiba kura ndiyo yanaandaliwa namna hii?Kiongozi wa juu wa jumuiya ya wazazi CCM alipokuwa Channel 10 akifanya mahojiano amedai pigo waliopigwa Chadema inawezekana ikachukua mpaka miaka 25 kurecover.