Kiongozi wa juu wa jumuiya ya wazazi CCM alipokuwa Channel 10 akifanya mahojiano amedai pigo waliopigwa Chadema inawezekana ikachukua mpaka miaka 25 kurecover.
"Nimewaona Mbowe, Lema na wengine wachache wakifanya mahojiano leo, kwa kweli walikuwa wameishiwa nguvu, walikuwa wamepoteza muelekeo, mentally, emotionally na psychologically
Wamekosa imani na wanachama wao,wamekosa imani na Bavicha, kwa sasa hivi mwenyekiti Mbowe mtu pekee anayemuamini ni mwanae Nicole na mkewe"
Ally Hapi ameshangaa hata kwanini Chadema huwa wanalalamika kuwa huwa wanaibiwa kura.