Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tumeweka masomo ya namna hiyo karibu kila mahaliAbarikiwe TL. Tujitokeze kwa wingi Jumatano 28 Okt 2020 tumpigie TL kura zetu.
Sijasikia TL akieleza watu jinsi ya watu kumpigia kura 28 Okt 2020. Hajaeleza wapi picha na jina lake vimewekwa kwenye karatasi ya kupiga kura.
Kampeni zimeisha, tunasubiria sherehe za kumuapisha Rais Tundu Lissu kipenzi cha watanzania wote na dunia kwa ujumla.Kampeni zimeisha, tunasubiria sherehe za kumuapisha Rais Magufuli tu
Wiki ijayo
Na wewe unahudhuria huo mkutano au?Propaganda hazitawasaidia. Lissu amesema atatupa uhuru, haki na maendeleo. Semeni mtakachotupa ili tuwalinganishe. Haya ya mabeberu, kukimbia nchi wakati nyie ndio mliompa ulemavu, ushoga ni soga. Watanzania wana akili.
hakikisha unampigia kura Lissu wewe dogo sawa ..Naona imekuingia sawasawa!
Ana mikutano 5 kwenye jimbo la NyalanduLeo aende akamnadi nyalandu, sijaona akimnadi....
HatuKwenye kikao chake ataenda lini tena
View attachment 1611263
Nyalandu ameshinda mapema sana , labda Lissu aende kusalimia wananchi tuLeo aende akamnadi nyalandu, sijaona akimnadi....
Tumeweka masomo ya namna hiyo karibu kila mahali
Wewe mbona unavuja kila siku badala ya "once per moon" lakini huulizwi!?Mbona kila siku singida ?
Hawaamini ndungu zake wa singida ? Anajua watamfyekelea mbali
Hapa vijana tuna la kujifunza, Usaliti ni laana kwa Taifa
Ushauri wako utafikishwa kwa wahusikaTL aongelee pia. Coverage ya habari ya TL ni kubwa kuliko hayo masomo unayoyaongelea. Lissu akiongelea mwenyewe inafikia watu wengi kwa wakati mmoja. Hili ni muhimu. Msidharau mambo yanayoonekana madogo. Nchi hii ina watu wengi sana wasiojua kusoma na kuandika.
Nimeona mahali kuwa mawakala wa CHADEMA bado hawakuapishwa licha ya kuongezwa kwa muda. Lakini sijasikia chama kikisema lolote. Mmekubalina na hali?
Kwani kuna wilaya hajaenda Tanzania hii?Mbona kila siku singida ?
Hawaamini ndungu zake wa singida ? Anajua watamfyekelea mbali
Hapa vijana tuna la kujifunza, Usaliti ni laana kwa Taifa
Kampeni zimeisha, tunasubiria sherehe za kumuapisha Rais Tundu Lissu kipenzi cha watanzania wote na dunia kwa ujumla.
Wewe mbona unavuja kila siku badala ya "once per moon" lakini huulizwi!?
Wewe unavunja sheria kwani!?
Asante kwa taarifa tupo pamojaWakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu .
Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa na hasa kwenye maeneo ambayo hakufanikiwa kuyapitia ya Dodoma na Singida ( anafukia mashimo ) , kama kawaida yetu tutawaletea kila kinachojiri pote atakapopita .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika .
" TANZANIA MPYA OYEE , RAIS MPYA OYEEEE "
View attachment 1611262
========