Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

Alafu hizo swaga za "OYEEE" sio zetu ni za ccm πŸ˜‚
 
Nakubalia na wewe 100%. Magufuli hawezi kumwona Lissu akiwa Rais. Hilo kwake ni kama kumpa kisu mtu uliyetaka kumchinja halafu ukashindwa. Anaweza kukuchinja wewe na asishindwe kama Magufuli alivyoshindwa. Mtu anayewaza kuwa CCM itatoka kwa kura, anajisumbua tu. CCM itaendelea hivi hivi hadi moja ya mambo haya uliyoyataja litakapotokea.

CCM haitatoka madarakani kwa kura. Zanzibar ni mfano hai. Tangu 1995, kwa wale tuliokuwepo, CCM wamekuwa wakishindwa. CCM haiwezi kupinduliwa na jeshi kwa sasa. Dikteta Magufuli amechanganya jeshi na serikali. Na pale juu kaweka mtu wa kabila lake. Hiyo ni kawaida ya madikteta. Nguvu ya umma tu ndio imebaki. Na muda wake mzuri ni huu.
Dictator awatoki madarakani bali kwa
. kuuwawa
.kupinduliwa
.kufurushwa na nguvu ya umma
Si kwamba madikteta upenda Sana kuongoza jibu ni kwamba wataishije na Jamii waliyoiumiza.
Salama yao ni kung'ang'ania madarakani japo Mara nyingi wakati si ukuta
 
Nyongeza za mishahara kutofanyika ni pigo kubwa Sana kwao hao tegemeo lao watashangaa Sana watakapowageuka wanao nufaika Ni mabosi zao Hawa wengine ni choka mbaya na wahanga sawa na watz wote.
 
Muda wa kuasi ndio huu. Lakini inahitaji uongozi. Uasi nakwambia hautakuwa wa jeshi. Utakuwa wa raia. Kama raia watakubali hii dhuluma, basi hakutakua na mabadiliko.
Nyongeza za mishahara kutofanyika ni pigo kubwa Sana kwao hao tegemeo lao watashangaa Sana watakapowageuka wanao nufaika Ni mabosi zao Hawa wengine ni choka mbaya na wahanga sawa na watz wote
 
Mikutano imeahirishwa?!
 
Mmh! Hatari, sasa hao mawakala hata nakala ya matokeo hawatapewa?
 
shaongea na wazee wangu kijijini miaka 50+ ya umaskini ulioletwa na sera laghai za ccm mwisho tarehe 28.

kwa mara ya kwanza wazee wamesema KURA KWA LISSU.
 
Anatembea sana! Aishukuru Serikali ya CCM kwa kujenga miundombinu inayomuwezesha kutembea huku na huku ndani ya muda mfupi, Pwani, Arusha, Lindi, Mtwara, Ruvuma, Singida, Pemba, Shinyanga,Kilimanjaro, nk ndani ya siku mbili tatu! CCM Oyeeee! Zamani Mtwara Dar siku nne!
 
Kweli kabisa! Hata kutembea Nchi mbalimbali kuomba zisiisaidie Tanzania ikiwemo Marekani, kutuhadaa kuwa hatutashinda vita vya kutetea raslimali za Taifa kama madini ,makeniakia wakati juma hili tumepata gawio, kupinga kila kitu wakati anapita kwenye lami, kutumia umeme, ndege, viwanja nk vilivyojengwa na Serikali za CCM. kwa ujumla anatumika na mabeberu ili tusishinde vita vya kiuchumi. Lissu na chama chake walitaka tujifungie (lockdown ya COVID-19) ili uchumi wetu uanguke ashinde kirahisi.Ningemuelewa angeacha kupiga kampeni akatumia mitandao ili kuepuka maambukizi ya COVID-19. Kwa ujumla hawaishi wanayoyaamini na kuhubiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…