Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Erythrocyte may i have your contants?
Kama hutojali nimekuwa nikivutiwa sana na maandiko yako
Dictator awatoki madarakani bali kwa
. kuuwawa
.kupinduliwa
.kufurushwa na nguvu ya umma
Si kwamba madikteta upenda Sana kuongoza jibu ni kwamba wataishije na Jamii waliyoiumiza.
Salama yao ni kung'ang'ania madarakani japo Mara nyingi wakati si ukuta
Nyongeza za mishahara kutofanyika ni pigo kubwa Sana kwao hao tegemeo lao watashangaa Sana watakapowageuka wanao nufaika Ni mabosi zao Hawa wengine ni choka mbaya na wahanga sawa na watz wote.Nakubalia na wewe 100%. Magufuli hawezi kumwona Lissu akiwa Rais. Hilo kwake ni kama kumpa kisu mtu uliyetaka kumchinja halafu ukashindwa. Anaweza kukuchinja wewe na asishindwe kama Magufuli alivyoshindwa. Mtu anayewaza kuwa CCM itatoka kwa kura, anajisumbua tu. CCM itaendelea hivi hivi hadi moja ya mambo haya uliyoyataja litakapotokea.
CCM haitatoka madarakani kwa kura. Zanzibar ni mfano hai. Tangu 1995, kwa wale tuliokuwepo, CCM wamekuwa wakishindwa. CCM haiwezi kupinduliwa na jeshi kwa sasa. Dikteta Magufuli amechanganya jeshi na serikali. Na pale juu kaweka mtu wa kabila lake. Hiyo ni kawaida ya madikteta. Nguvu ya umma tu ndio imebaki. Na muda wake mzuri ni huu.
Nyongeza za mishahara kutofanyika ni pigo kubwa Sana kwao hao tegemeo lao watashangaa Sana watakapowageuka wanao nufaika Ni mabosi zao Hawa wengine ni choka mbaya na wahanga sawa na watz wote
Mikutano imeahirishwa?!Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu .
Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa na hasa kwenye maeneo ambayo hakufanikiwa kuyapitia ya Dodoma na Singida ( anafukia mashimo ) , kama kawaida yetu tutawaletea kila kinachojiri pote atakapopita .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika .
" TANZANIA MPYA OYEE , RAIS MPYA OYEEEE "
View attachment 1611262
========
Mmh! Hatari, sasa hao mawakala hata nakala ya matokeo hawatapewa?Kwa nilicho kishuhudia leo kwenye seminar ya wasimamizi wa vituo vya uchaguzi ni dhahiri CCM wanashirikiana na TISS kuiba kura
DSO/RSO wanasema
1.Marufuku mawakala kuingia na simu
2.Marufuku wasimamizi wasaidizi kuingia na simu
3.Marufuku kalani mwongozaji kuingia na simu
4.Marufuku wakala kuingia na kalam yake
5.Marufuku wakala kuondoka na karatasi ya matokeo
Wapinzani tumeshapigwa tayari!Yaani nimekuta kwanini niliumia kwenye hiyo seminar Ilikuwa kidogo tu nirushe ngumi
kwanini ?Mikutano imeahirishwa?!
😆😆😆 Hivi hata sisi tusio na hatia kumbe tunanyemelewa ? Ama kweli ccm imekwisha !Erythrocyte - Never expose your identity. Kesho tutasikia umetekwa na watu wasiojulikana.
Unashangaa Lisu kuwa na tiketi? awamu hii kweli CCM imejaa wajinga!Unaruhusiwa kijifariji ?
All in all mr lissu tayari ana tiket ya kurudi ubeligiji, anajua field kukoje
Huweki up dates!kwanini ?
Anatembea sana! Aishukuru Serikali ya CCM kwa kujenga miundombinu inayomuwezesha kutembea huku na huku ndani ya muda mfupi, Pwani, Arusha, Lindi, Mtwara, Ruvuma, Singida, Pemba, Shinyanga,Kilimanjaro, nk ndani ya siku mbili tatu! CCM Oyeeee! Zamani Mtwara Dar siku nne!Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu .
Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa na hasa kwenye maeneo ambayo hakufanikiwa kuyapitia ya Dodoma na Singida ( anafukia mashimo ) , kama kawaida yetu tutawaletea kila kinachojiri pote atakapopita .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika .
" TANZANIA MPYA OYEE , RAIS MPYA OYEEEE "
View attachment 1611262
========
Unashangaa Lisu kuwa na tiketi? awamu hii kweli CCM imejaa wajinga!
Kwa hiyo anakinukisha anakimbia anatuacha sisi tuumizane!Yeah ana tiket, Watanzania wamejua maovu yake
Kamanda anataka aombwe mzigo,huenda akapata mchumba.
Zimetoka lini mkuu mbona Mimi sina habari?Zimeshatoka tayari tunakula bata tu
Zimetoka lini mkuu mbona Mimi sina habari?
Kwa hiyo anakinukisha anakimbia anatuacha sisi tuumizane!