Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Mkuu hili ndilo kosa kubwa sana mnalifanya,mwisho wa siku yale yale ya kushangilia PGO ndiyo yatakuja kujirudia hapa.Mnachokiona nyinyi si kile anachokiona Jaji,na siyo tu Tigo,hata Vodacom,Airtel,Hallotel wakati wowote wakitakiwa kutoa ushirikiano kwa Serikali watafanya bila kusita.Huo ndiyo ukweli wenyewe japo ni mchungu.
Kama jaji anaweza kuona tofauti na kile ambacho kinaelezwa hapa kupitia mahojiano ya shahidi na wakili basi nitakua sahihi kusema kwenye hii kesi jaji kala njama

Kwasababu kama mimi tu nimeweza kuona errors kwa hawa mashahidi ambao wanajipinga maelezo yao wenyewe, kivipi iwe tofauti kwa jaji?

Kuna vitu vingi vinajadiliwa hapa ambavyo vingine vinagusa taaluma za watu ambapo tunajua ni utaratibu gani yanafanyika katika mazingira hayo

Mimi naweza nisiwe mtu wa sheria ila nikawa ni mtu wa IT, kwenye maelezo ya shahidi kuna habari za IT ambazo hapo naweza kujua kua anachokiongea kipo katika state gani

Huwezi kuwa IT kuongelea maswala ya usalama bila kuzungumzia HACKERS, mtu ambaye hajui hata system yake ya ulinzi ni version gani lazima nipate mashaka hata ukweli wa maelezo yake hayo ya kisheria ambayo mimi siyajui
 
Kwa nini utoe taarifa pasipo kufahamu kuna kosa gani?

Hio barua ameaema ni standard form, sehemu ya kosa haijajazwa, amekiuka taratibu...

Ametoa taarifa za mteja kiholela mnoo!!

Endelea kusema usivyovijua uje usikie tigo wanalipishwa billions of money ndipo utakaa kimya...

Kwanza hajulikani kama ni IT au mwanasheria...
huyo jamaa hajui IT na sheria pia hajui.
 
kibatala ni mnoma, kweli Database hii ndiyo ipo latest sasa hivi..

Microsoft SQL Server 2019

The current version is Microsoft SQL Server 2019, released November 4, 2019. The RTM version is 15.0. 2000.5.

Kujua latest version inasaidia nini kwa hii kesi?
 
Kwa hiyo serikali iliamini kwa huyu shahidi kibatala hatoki?

Ila ujio wake ulikuja kwa mbwembwe, ni kama yule detective upande wa silaha mzee wa terrorism

Utofauti wa huyu shahidi nikwamba amekuja akiwa improved kwenye kiingereza, serikali iliona kosa ni hilo kwingine kote mashahidi wanapatia
 
Tufanye tu ndani ya jeshi kuwe na askari asiye mwadilifu mwenye cheo kikubwa na ana mtandao wa majambazi hivi, na wewe uwe ni mtu tajiri mwenye mpunga wako kama Mo wa Simba yule...huu ni mfano tu 😁

Huu si mfano ila ndivyo askari wengi walivyo! umemuona Kingai, Mahita na hata Sirro! Tunalindwa na majambazi I tell you!! Nilishaandika hapa kila mtu ajilinde! fanya mazoezi piga chuma sana! na kama unamiliki mguu wa kuku tembea nao uheshimu!
Hio mbona sio siri tena! Aliyekuwa mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya hai bwana lengai olesabaya ana matukio ya ujambazi chungu nzima! Wakati anakamatwa alikutwa na bilion tatu ndani CASH!!!!
 
Acha uwongo basi,sisi watu wazima ujue? Yani ununue utupe,halafu ununue tena[emoji3][emoji3]
Mtu amekushawishi huduma nzuri, ila baada ya kununua unakuta dust , so dust zinaenda wapi ? Dampo
 
Amenifurahisha Sana shahidi wa leo mitego yote ya wakili msomi kameibugia Kama uji wa asubuhi.

Wakili msomi: Unamufahamu Mbowe?
Shahidi msomi: Simufahamu.

Mbowe hajulikani mngesema Slaa,bwana makelele,Lowassa hapo sawa.
Eti hamfahamu Mbowe kama Kiongozi wa chadema/kiongozi wa chama cha upinzani! 😁😁😁

Aisee hii nchi ina viazi wengi sana!
 
Kwa nini utoe taarifa pasipo kufahamu kuna kosa gani?

Hio barua ameaema ni standard form, sehemu ya kosa haijajazwa, amekiuka taratibu...

Ametoa taarifa za mteja kiholela mnoo!!

Endelea kusema usivyovijua uje usikie tigo wanalipishwa billions of money ndipo utakaa kimya...

Kwanza hajulikani kama ni IT au mwanasheria...

Ndugu yangu hakuna cha kulipishwa Mabilion wala mamilion.Ukweli ni kuwa hamuangalii msingi mzima wa hii kesi,nyie mnademka tu na hizi mbwembwe za mawakili.Ndiyo maana nikawaambia kile kitu kizito cha PGO tulichopigwa nacho kichwani kinajirudia muda si mrefu,tutakutana hapa tena kutoa makasiriko yetu kwa Mh.Jaji.
 
Hii ilianzia kwenye kesi ndogo ya nyuma. Wao wanajikita kwenye maswali mepesi mambo makubwa yanawapita. Jaji aliwashangaa kwa jinsi walivyo ruhusu ushahidi kupokelewa wakati walikuwa na nafasi ya kuupinga na hii ilikuwa obvious hata kwa asiye mwanasheria. Sina uhakika wa maswali ya kunywa mo energy nk yalikuwa na tija kama ambavyo maswali yao hanaelea kwenye vitu vidogo na kuacha kuonyesha mapungufu ya mashataka. Kwa mfano wameng`ang`ania usiri wa taarifa za mteja wa TIGO ambao sidhani kama unaathari iwapo taarifa zilizotolewa zina ukweli. Suala la Usiri wa wateja na TIGO wangewaachia wateja huko nje ya kesi. Hapa issue taarifa ni ya ukweli au siyo na waprove hivo mahamakamani . Hii si kesi ya ushabiki kwani kosa moja mtu anafungwa hivyo umakini unatakiwa do uonekane na sisi wafuatiliaji tuchambue kwa umakini badala ya ushabiki kkutawa
Unatoaje taarifa za mteja wakati hujui kosa linalopelekea kuhitajika hizo taarifa.
 
Kama jaji anaweza kuona tofauti na kile ambacho kinaelezwa hapa kupitia mahojiano ya shahidi na wakili basi nitakua sahihi kwenye hii kesi jaji kala njama

Kwasababu kama mimi tu nimeweza kuona errors kwa hawa mashahidi ambao wanajipinga maelezo yao wenyewe, kivipi iwe tofauti kwa jaji?

Kuna vitu vingi vinajadiliwa hapa ambavyo vingine vinagusa taaluma za watu ambapo tunajua ni utaratibu gani yanafanyika katika mazingira hayo

Mimi naweza nisiwe mtu wa sheria ila nikawa ni mtu wa IT, kwenye maelezo ya shahidi kuna habari za IT ambazo hapo naweza kujua kua anachokiongea kipo katika state gani

Huwezi kuwa IT kuongelea maswala ya usalama bila kuzungumzia HACKERS, mtu ambaye hajui hata system yake ya ulinzi ni version gani lazima nipate mashaka hata ukweli wa maelezo yake hayo ya kisheria ambayo mimi siyajui

Nitarudi hapa kukukumbusha mwisho wa kesi hii
 
Hawa tigo ni wa kuwatosa tu. Vibwengo wakubwa.
Wanazidiwa hata na JF katika suala la kumlinda mteja. Maxence hapa amepambania haki ya Privacy ya JF members hadi mahakamani.
TIGO wanashindwa kuonesha japo nia tu ya kulinda privacy?
Kumbe uamuzi wangu wa kuitupa line ya TIGO ulikuwa sahihi sana.
Hakika Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda huyu mwamba Maxence Melo ! Angekuwa na akili kama za huu Msukule Wa Tigo, kitambo angeshatuuza humu JF.
 
Ndugu yangu hakuna cha kulipishwa Mabilion wala mamilion.Ukweli ni kuwa hamuangalii msingi mzima wa hii kesi,nyie mnademka tu na hizi mbwembwe za mawakili.Ndiyo maana nikawaambia kile kitu kizito cha PGO tulichopigwa nacho kichwani kinajirudia muda si mrefu,tutakutana hapa tena kutoa makasiriko yetu kwa Mh.Jaji.
Hawa Tigo si nilisikia walilipa ela nyingi kwa At na Fa, kwa kutumia nyimbo zao , ndo madhara ya kuajiri vilaza haya
 
Kwa hiyo serikali iliamini kwa huyu shahidi kibatala hatoki?

Ila ujio wake ulikuja kwa mbwembwe, ni kama yule detective upande wa silaha mzee wa terrorism

Utofauti wa huyu shahidi nikwamba amekuja akiwa improved kwenye kiingereza, serikali iliona kosa ni hilo kwingine kote mashahidi wanapatia

Mbona sijaona cha maana kutoka kwa Kibatala zaidi ya leo na yeye kuongeza mbwembwe za kugoogle latest version za Software[emoji3][emoji3]
 
Mwenzako akilia usipomsikiliza , muda wako wa kulia ukifika hatakusikiliza. Unaweza kudharau kilio Cha wapinzani. Lakini Magufuli alipofariki. Watu wake wakaanza kulia kwamba ameuaa.
Kwanini na sisi tusifungue kesi? Iko tuachane na hizo myths maana sioni zikitusaidia.
 
Back
Top Bottom