Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kama jaji anaweza kuona tofauti na kile ambacho kinaelezwa hapa kupitia mahojiano ya shahidi na wakili basi nitakua sahihi kusema kwenye hii kesi jaji kala njamaMkuu hili ndilo kosa kubwa sana mnalifanya,mwisho wa siku yale yale ya kushangilia PGO ndiyo yatakuja kujirudia hapa.Mnachokiona nyinyi si kile anachokiona Jaji,na siyo tu Tigo,hata Vodacom,Airtel,Hallotel wakati wowote wakitakiwa kutoa ushirikiano kwa Serikali watafanya bila kusita.Huo ndiyo ukweli wenyewe japo ni mchungu.
Kwasababu kama mimi tu nimeweza kuona errors kwa hawa mashahidi ambao wanajipinga maelezo yao wenyewe, kivipi iwe tofauti kwa jaji?
Kuna vitu vingi vinajadiliwa hapa ambavyo vingine vinagusa taaluma za watu ambapo tunajua ni utaratibu gani yanafanyika katika mazingira hayo
Mimi naweza nisiwe mtu wa sheria ila nikawa ni mtu wa IT, kwenye maelezo ya shahidi kuna habari za IT ambazo hapo naweza kujua kua anachokiongea kipo katika state gani
Huwezi kuwa IT kuongelea maswala ya usalama bila kuzungumzia HACKERS, mtu ambaye hajui hata system yake ya ulinzi ni version gani lazima nipate mashaka hata ukweli wa maelezo yake hayo ya kisheria ambayo mimi siyajui