Daaaa ndo Askari wetu haoLeo katika mahakama Kuu askari aliyejitambulisha kwa jina la Jumanne Malangahe, amejitokeza kama shahidi wa nane wa upande wa mashtaka.
Askari huyu ni mmoja kati ya Askari wanaotuhumiwa kumdai rushwa ya TZS 200,000,000 Prof. mstaafu mzee aitwaye Prof Maeda. Baadaye walipunguza wakamdai TZS 100 m na mwisho eti kwa kumhurumia wakapunguza Mpaka wakapokea TZS 50 m.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru Arusha, Jumanne na wenzake wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi.
Leo Jumanne ni shahidi mahakamani!
kukamatwa na bunduki isiyosajiliwa maana yake ulikuwa unataka kufanya nini nayoO magaidi hao wafugwe tuTatizo la mikesi kama hii hata wanaotumika hawajui kama wanatumika, hao mashahidi inawezekana kabisa walikuwepo katika hayo matukio yote bila wao kujua ni set up na wengi walikuwa wanafanya kazi zao za kila siku, hizi episodes kuna watu nyuma yake walishaandika kila kitu na ni wataalam kwelikweli na wamesomea na ujuzi wa miaka mingi sana, inawezekana hata hao wakuu wa mapolisi hawajui lolote zaidi ya kuchukua amri tuu na kupewa ushahidi kutoka juu, haya mambo ya state crime/ sponsored terrorism kwa raia wake yapo sana na especially kwenye nchi zetu maskini za kidkteta uchwara, nchi nyingi zilizoendelea walishaachana na huu upuuzi kwa sababu wana mahakama zao za uhakika na good lawyers all around wanaoweza kuiaibisha serikali anytime, kwa hii kesi sioni upande wa mashtaka wakithibitisha chochote kuna ugaidi wowote ulitokea au ulitaka kutokea, waliotengeneza hii case not very smart
we akili yako itakuwa haikutoshi sasa si ni mtuhumiwa kwani nani kasibitisha kuwa walitenda kosa? wacha mbowe ahukumiwe tu tena anyongwe kabisa gaidi huyoLeo katika mahakama Kuu askari aliyejitambulisha kwa jina la Jumanne Malangahe, amejitokeza kama shahidi wa nane wa upande wa mashtaka.
Askari huyu ni mmoja kati ya Askari wanaotuhumiwa kumdai rushwa ya TZS 200,000,000 Prof. mstaafu mzee aitwaye Prof Maeda. Baadaye walipunguza wakamdai TZS 100 m na mwisho eti kwa kumhurumia wakapunguza Mpaka wakapokea TZS 50 m.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru Arusha, Jumanne na wenzake wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi.
Leo Jumanne ni shahidi mahakamani!
Polisi inatia aibu sana !Leo katika mahakama Kuu askari aliyejitambulisha kwa jina la Jumanne Malangahe, amejitokeza kama shahidi wa nane wa upande wa mashtaka.
Askari huyu ni mmoja kati ya Askari wanaotuhumiwa kumdai rushwa ya TZS 200,000,000 Prof. mstaafu mzee aitwaye Prof Maeda. Baadaye walipunguza wakamdai TZS 100 m na mwisho eti kwa kumhurumia wakapunguza Mpaka wakapokea TZS 50 m.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru Arusha, Jumanne na wenzake wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi.
Leo Jumanne ni shahidi mahakamani!
Nami nimesema ni mtuhumiwa.we akili yako itakuwa haikutoshi sasa si ni mtuhumiwa kwani nani kasibitisha kuwa walitenda kosa? wacha mbowe ahukumiwe tu tena anyongwe kabisa gaidi huyo
kwani mtuhumiwa ameshatiwa hatani mpaka asitoe ushahidi/ hayo makesi yenu ya kubambika kwa huyo askari hayatafanikiwa wacha watoe ushahidi kwa hilo gaidi mbowe lifungwe maisha hatutaki magaidi nchini kwetuPolisi inatia aibu sana !
sasa mtuhumiwa kwani kosa lake nini kutoa ushahidi kwa huyo gaidi?Nami nimesema ni mtuhumiwa.
Shida iko wapi?
Hahahaaaaa.sasa mtuhumiwa kwani kosa lake nini kutoa ushahidi kwa huyo gaidi?
Akili sio matako kwamba kila mtu anayo wewe iboya2021 huna akili.kukamatwa na bunduki isiyosajiliwa maana yake ulikuwa unataka kufanya nini nayoO magaidi hao wafugwe tu
Alikamatwa nayo Mbowe au baba ako?kukamatwa na bunduki isiyosajiliwa maana yake ulikuwa unataka kufanya nini nayoO magaidi hao wafugwe tu
Kwahiyo mbowe akifungwa ndio utakubali kukata govi!!?kwani mtuhumiwa ameshatiwa hatani mpaka asitoe ushahidi/ hayo makesi yenu ya kubambika kwa huyo askari hayatafanikiwa wacha watoe ushahidi kwa hilo gaidi mbowe lifungwe maisha hatutaki magaidi nchini kwetu
Walichukua 100m mkuu mstaafu alikua na 70m akaomba msaada wa 30m kutoka kwa mdogo wake hao majambazi walikua saba...Leo katika mahakama Kuu askari aliyejitambulisha kwa jina la Jumanne Malangahe, amejitokeza kama shahidi wa nane wa upande wa mashtaka.
Askari huyu ni mmoja kati ya Askari wanaotuhumiwa kumdai rushwa ya TZS 200,000,000 Prof. mstaafu mzee aitwaye Prof Maeda. Baadaye walipunguza wakamdai TZS 100 m na mwisho eti kwa kumhurumia wakapunguza Mpaka wakapokea TZS 50 m.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru Arusha, Jumanne na wenzake wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi.
Leo Jumanne ni shahidi mahakamani!
Yawezekana Rais Samia kaamua iendelee ili awaumbue hawa watu, kumbuka hii kesi ilikuwa fomulated kipindi cha yule DPP aliyetumbuliwa. wacha tuone hadi mwisho.Hii kesi hata kama watamfunga Mbowe. Sirro na Kingai wanapaswa kufukuzwa kazi.
“BWANA [Yehova, NW] akuinulie uso wake, na kukupa amani.”—HESABU 6:26. AMENwacha ifike mwisho Gaidi afungwe vizuri
Unachotoa ubidamu kesa hela ya CCM.Kumbuka Kuna Mbingu .Hiyo bunduki Mimi ninajua ,wewe unajua ,Kingai anajua na HAKIMU anajua kuwa Ile ni bunduki ya kubabikiwa Kwa sababu ya issue za kisiasa.Vaa utu MUNGU wetu ni mmojakukamatwa na bunduki isiyosajiliwa maana yake ulikuwa unataka kufanya nini nayoO magaidi hao wafugwe tu
ILI, kama mafarisayo, waje kushuhudia uwepo wa Mungu wa haki. AMENHawaii kuondoa mawakili,waendelee kuwepo ili waijuze dunia jinsi utawala huu ulivyo Maana bila wakili msomi Peter Kibatala na jopo lake maovu yao hayatajulikana.Polisi ni watu.hatari sana.