Jaji anaenda kupokea vitisho na kesho hati itapokelewa mpende msipendeBaada ya mvutano wa kisheria baina ya Mawakili wa Utetezi na Jamhuri juu ya mahakama kupokea Hati ya kukamatia mali iliyowasilishwa na Shahidi wa 8, Jaji ameahirisha kesi hiyo mpaka kesho Novemba 09, 2021 ambapo atatoa uamuzi, kama hati hiyo ipokelewe au isipokelewe.
Script zimewashinda kukariri wanamuomba Jaji awasaidie kumfunga Mbowe bila kufuata misingi ya sheriaKutengeneza movie inachukua hata miaka 5......
Umeniandikia. Swali zuri kabisa.Kama huo ukamataji ulishapangwa na watuhumia walishajulikana walikokuwa ilishindikana nini kuchukua viongozi wa mtaa walikokuwa na wao washudie tangu ukamataji ikajulikana watuhumiwa walikuwa na vitu gani walivyovibeba? Sasa wameshawakamata ndiyo wanaenda kuwatafuta mashuhuda je kama waliwawekea hiyo silaha kabla hao mashuhuda hawakufika kuona?
Kesho hili suala la yeye kusimamishwa kazi kwa kushiriki kumwibia mstaafu mafao yake ni kati ya maswali ya yatakayomtoa relini. Atadhalilika sana.Leo katika mahakama Kuu askari aliyejitambulisha kwa jina la Jumanne Malangahe, amejitokeza kama shahidi wa nane wa upande wa mashtaka.
Askari huyu ni mmoja kati ya Askari wanaotuhumiwa kumdai rushwa ya TZS 200,000,000 Prof. mstaafu mzee aitwaye Prof Maeda. Baadaye walipunguza wakamdai TZS 100 m na mwisho eti kwa kumhurumia wakapunguza Mpaka wakapokea TZS 50 m.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru Arusha, Jumanne na wenzake wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi.
Leo Jumanne ni shahidi mahakamani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa nchi masikini nyingi tofauti ya mapolisi wengi na majambazi ni sare[emoji125][emoji125][emoji125]
Lazima ipokelewe tu,maagizo maalum.Baada ya mvutano wa kisheria baina ya Mawakili wa Utetezi na Jamhuri juu ya mahakama kupokea Hati ya kukamatia mali iliyowasilishwa na Shahidi wa 8, Jaji ameahirisha kesi hiyo mpaka kesho Novemba 09, 2021 ambapo atatoa uamuzi, kama hati hiyo ipokelewe au isipokelewe.
Anaenda kumuuliza mtunga Skripti hapo anatakiwa kuchezajeBaada ya mvutano wa kisheria baina ya Mawakili wa Utetezi na Jamhuri juu ya mahakama kupokea Hati ya kukamatia mali iliyowasilishwa na Shahidi wa 8, Jaji ameahirisha kesi hiyo mpaka kesho Novemba 09, 2021 ambapo atatoa uamuzi, kama hati hiyo ipokelewe au isipokelewe.
Kama polisi anaweza kufanya ujambazi wa aina hiyo, ataaminikaje kwamba ataleta ushahidi wa kuaminiwa mahakamani. Credibility yake ni sufuri.Polisi inatia aibu sana !
Hivi amejitambulisha kama bado mfanyakazi wa jeshi la polisi au mstaafu?Kesho hili suala la yeye kusimamishwa kazi kwa kushiriki kumwibia mstaafu mafao yake ni kati ya maswali ya yatakayomtoa relini. Atadhalilika sana.
Pamoja boda hapa.Yaani niko huku Mbozi lakini niko Dar pia.
Amejitambulisha kama Afisa wa PolisiHivi amejitambulisha kama bado mfanyakazi wa jeshi la polisi au mstaafu?
Jaji: Majina yakoHivi amejitambulisha kama bado mfanyakazi wa jeshi la polisi au mstaafu?
wakiona upande wa mbowe unaenda vibaya hawatoagi update wanajifanya wako busyMkuu vipi updates hakuna
ukiona hivyo hukumu inakaribia mbowe kwishneihii kesi imeanza kuchosha
Mtu kama Kingai na yule mtoto wa omari Mahita hawastahili kuwa uraiani , wale ni wahalifu kabisaaaaKwa nchi masikini nyingi tofauti ya mapolisi wengi na majambazi ni sare[emoji125][emoji125][emoji125]
Wewe fala, unamegwa nini ?sasa mtuhumiwa kwani kosa lake nini kutoa ushahidi kwa huyo gaidi?
mungu ni mwema sanaUshahidi wa Leo ni mzito Sana ukizingatia huyu shahidi ni msukuma timu jiwe pia, mahita aliulizwa kama huyu Jamaa kasimamishwa kazi patamu hapa maswali kibao, maswali ya kumpakazia mtu ndovu yatakuepo Leo, kipindi Cha jiwe mabilionea wa uwizi nusra waibuke , Mungu muweza wa yote
We boya mbowe alikataa mimba yako nini? mbona una chuki naye sanaukiona hivyo hukumu inakaribia mbowe kwishnei
Our police are more crooked than crimininals.Kwa nchi masikini nyingi tofauti ya mapolisi wengi na majambazi ni sare[emoji125][emoji125][emoji125]