issenye
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 3,788
- 5,217
Jaji anaenda kupokea vitisho na kesho hati itapokelewa mpende msipendeBaada ya mvutano wa kisheria baina ya Mawakili wa Utetezi na Jamhuri juu ya mahakama kupokea Hati ya kukamatia mali iliyowasilishwa na Shahidi wa 8, Jaji ameahirisha kesi hiyo mpaka kesho Novemba 09, 2021 ambapo atatoa uamuzi, kama hati hiyo ipokelewe au isipokelewe.