Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ya Mbowe na wenzake. Superitendent Jumanne Malangahe atoa ushahidi, Kesi imeahirishwa hadi Nov 9, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ya Mbowe na wenzake. Superitendent Jumanne Malangahe atoa ushahidi, Kesi imeahirishwa hadi Nov 9, 2021

Baada ya mvutano wa kisheria baina ya Mawakili wa Utetezi na Jamhuri juu ya mahakama kupokea Hati ya kukamatia mali iliyowasilishwa na Shahidi wa 8, Jaji ameahirisha kesi hiyo mpaka kesho Novemba 09, 2021 ambapo atatoa uamuzi, kama hati hiyo ipokelewe au isipokelewe.
Jaji anaenda kupokea vitisho na kesho hati itapokelewa mpende msipende
 
Kama huo ukamataji ulishapangwa na watuhumia walishajulikana walikokuwa ilishindikana nini kuchukua viongozi wa mtaa walikokuwa na wao washudie tangu ukamataji ikajulikana watuhumiwa walikuwa na vitu gani walivyovibeba? Sasa wameshawakamata ndiyo wanaenda kuwatafuta mashuhuda je kama waliwawekea hiyo silaha kabla hao mashuhuda hawakufika kuona?
Umeniandikia. Swali zuri kabisa.
 
Leo katika mahakama Kuu askari aliyejitambulisha kwa jina la Jumanne Malangahe, amejitokeza kama shahidi wa nane wa upande wa mashtaka.

Askari huyu ni mmoja kati ya Askari wanaotuhumiwa kumdai rushwa ya TZS 200,000,000 Prof. mstaafu mzee aitwaye Prof Maeda. Baadaye walipunguza wakamdai TZS 100 m na mwisho eti kwa kumhurumia wakapunguza Mpaka wakapokea TZS 50 m.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru Arusha, Jumanne na wenzake wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi.

Leo Jumanne ni shahidi mahakamani!
Kesho hili suala la yeye kusimamishwa kazi kwa kushiriki kumwibia mstaafu mafao yake ni kati ya maswali ya yatakayomtoa relini. Atadhalilika sana.
 
mahakama imekuwa sehemu ya vituko, sio tulizozoea siku hizo....hawa majaji wamekuja kunajisi mahakama
 
Baada ya mvutano wa kisheria baina ya Mawakili wa Utetezi na Jamhuri juu ya mahakama kupokea Hati ya kukamatia mali iliyowasilishwa na Shahidi wa 8, Jaji ameahirisha kesi hiyo mpaka kesho Novemba 09, 2021 ambapo atatoa uamuzi, kama hati hiyo ipokelewe au isipokelewe.
Lazima ipokelewe tu,maagizo maalum.
 
Baada ya mvutano wa kisheria baina ya Mawakili wa Utetezi na Jamhuri juu ya mahakama kupokea Hati ya kukamatia mali iliyowasilishwa na Shahidi wa 8, Jaji ameahirisha kesi hiyo mpaka kesho Novemba 09, 2021 ambapo atatoa uamuzi, kama hati hiyo ipokelewe au isipokelewe.
Anaenda kumuuliza mtunga Skripti hapo anatakiwa kuchezaje
 
Kesho hili suala la yeye kusimamishwa kazi kwa kushiriki kumwibia mstaafu mafao yake ni kati ya maswali ya yatakayomtoa relini. Atadhalilika sana.
Hivi amejitambulisha kama bado mfanyakazi wa jeshi la polisi au mstaafu?
 
Hivi amejitambulisha kama bado mfanyakazi wa jeshi la polisi au mstaafu?
Jaji: Majina yako

Shahidi: Superitendent Jumanne Malangahe

Jaji: Umri

Shahidi: 46

Jaji: Kabila

Shahidi: Msukuma

Jaji: Shughuli yako

Shahidi: Afisa wa Polisi
 
Ushahidi wa Leo ni mzito Sana ukizingatia huyu shahidi ni msukuma timu jiwe pia, mahita aliulizwa kama huyu Jamaa kasimamishwa kazi patamu hapa maswali kibao, maswali ya kumpakazia mtu ndovu yatakuepo Leo, kipindi Cha jiwe mabilionea wa uwizi nusra waibuke , Mungu muweza wa yote
mungu ni mwema sana
 
Back
Top Bottom