Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

Katika vitu ambavyo havitamuacha SS salama ni kukumbatia mambo ya uonevu Kama haya aliyoyaasisi mwendazake.
Hataamini karma itakapomshukia kwa kasi ya ajabu.
Uzuri ni kuwa huwa hawasikii hadi karma iwapate kama Ndugai
 
Mwenye link ya update ya jana,tafadhali namba anirushie,kwani yaliyojili jana niliyatafuta bila mafanikio
 
Wakuu
Nimepita hapo mawasliano kwenye mahakama ya uhujumu uchumi,nami nina ndugu yangu ana kesi hapo,ila nimeshuhudia hali ya tofauti kidogo.nimeona askari magereza wengi sana wamemzingira mheshimiwa mbowe pale ndani mahakamani,awali nilidhani labda mheshimiwa anaumwa ila nilivyomcheck vizuri ninemuona yuko fit tu.sasa sijaelewa lengo la hao askari ni nin mpaka sasa.
Kuna anaejua kinachoendelea hapo ndani?
Mbowe ni mtu muhimu sana lazima alindwe kwa gharama kubwa.
 
Wakuu,

Nimepita hapo mawasliano kwenye mahakama ya uhujumu uchumi,nami nina ndugu yangu ana kesi hapo,ila nimeshuhudia hali ya tofauti kidogo.nimeona askari magereza wengi sana wamemzingira mheshimiwa mbowe pale ndani mahakamani,awali nilidhani labda mheshimiwa anaumwa ila nilivyomcheck vizuri ninemuona yuko fit tu.sasa sijaelewa lengo la hao askari ni nin mpaka sasa.

Kuna anaejua kinachoendelea hapo ndani?
Loo, Jaji kawa mkali shahidi alipoulizwa ulipanda cheo awamu gani, ya 5 au ya ? JAJI: Hiyo inahusiana nini? Loo, Jaji kawa mkali balaa, sijui mboni ya jicho imeguswa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Salaam Wakuu,

Leo tarehe 10/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea.

Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
=======
Mh. Kibatala SOMA HIYO
Cellebrite's
Digital Intelligence Platform empowers law enforcement, governments, and enterprises to collect, review, analyze and manage digital data.
 
Narudi tena ,mwambien shaidi aache kiburi
 

Hawa ndio Celebrate shahidi anasema haiwezekani kudukuliwa!​

Kama sever za kampuni mama zilidukuliwa sembuse huo mtambo mdogo?​

Security breaches​

On 12 January 2017, it was reported that an unknown hacker had acquired 900 GB worth of confidential data from Cellebrite's external servers. The data dump includes alleged usernames and passwords for logging into Cellebrite databases connected to the company's my.cellebrite domain, and also contains what appear to be evidence files from seized mobile phones, and logs from Cellebrite devices.[27] The dumped data suggested Cellebrite sold its data extraction products to countries such as Turkey, the United Arab Emirates and Russia.[15]

Vulnerability report by Signal​

Main article: Cellebrite UFED § Security
 
Wakili wa Serikali Robert Kidando: Mheshimiwa Jaji Wakili anataka Misamiati Migumu ya Technology shahidi anaweza asijue ni nini Kinaongelewa.

Kibatala: Mheshimiwa Jaji hakuna hoja hapo, Mbona shahidi anajibu, Eti ndugu shahidi, ni kweli huelewi Kitu?

Shahidi: Ndiyo sielewi

Kibatala Kwanini sasa ulikuwa unajibu?

Shahidi wa Jamhuri: Kimya

Eti naye huyu Ni mpelelezi, hajui kitu lakini ajibu...ajicontradict
 
Back
Top Bottom