Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Matata: Ukiulizwa, Ukiachana Na Sabaya ni Viongozi gani wengine Walipanga Kuwashambulia

Shahidi: Sikutaja Jina la Kiongozi Yoyote, Hakuniambia Kiongozi Yupi



Sasa Kingai yeye alijuaje kuwa kiongozi aliyetakiwa kudhuliwa ni Sabaya wakati mwenye first hand infomation bwana Urio anasema Mbowe hakumwambia ni Kiongozi yupi ..... Ah ha ......!!
 
Nimependa hiyo ya 'Hakuna kitu kinaniumiza Kama kumuonea mtu'. Hiyo Ni Imani na ahadi ya kufanya binadamu utende haki bila kujali Hali yako ukiwa tajiri au masikini.
 
Wewe ni Shetani kwelikweli.
 
Porojo za Kibatala hahahhahahah
 
Fabricated by a bunch of fools.
 
Leo hali yake ni mbaya zaidi, hadi ameapa...hakyamungu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…