Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Njia ya muongo ni fupi sana huyo Lt Urio ameumbuka vibaya
 
ha ha ha - ameukana UGAIDI kwa mara nyingine - pia kuuthibitisha huo uhalifu ametoa hajaweza.
Akina kingai mahita na wenzao waliotengeneza kesi ya mchongo wanajuuta kumleta Lt Urio mahakamani kwani amewaumbua sana
 
We mtu anaulizwa mlipokutana na Mbowe ulikua sober?

Na yeye urio akajibu sijui Kama Ile sehemu tuliyokutana inaitwa Sober [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wengi mnakosa ufahamu na mambo ya mahakama, shahidi sio mwehu kujibu hivyo
 
Narudia tena shahidi sio mwehu
Ni mwehu kama hakuelewa swali aneomba ufafanuzi...kwa jibu lake amedhibitisha udhaifu wake...na ametia mashaka uelewa wake..si ajabu angeulizwa "je mlipokutana na Mbowe alikufahamisha nia yake ya ku create chaos nchi nzima' angejibu " hapana mimi aliniambia tu anataka kusababisha taharuki nchi nzima na sio mambo ya ku create chaos"....na bado ungefikiri shahidi sio mburura!
 
Hivi kusema "muda umeisha" ndio kupanga ugaidi kweli nchi inahitaji kufumua mitaali na kuleta mipya Elimu ya watanzania sio Elimu ni upuuzi na kujaza kundi kubwa la watu ujinga tu.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi kusema "muda umeisha" ndio kupanga ugaidi kweli nchi inahitaji kufumua mitaali na kuleta mipya Elimu ya watanzania sio Elimu ni upuuzi na kujaza kundi kubwa la watu ujinga tu.
maoni au hakika?
 
Kesi ya ugaidi ilishafunguliwa kabla hata ya magaidi wenyewe kupatikana ama kufahamika! Duh!🤦🏾‍♂️ Ndo mambo ya mchongo haya!

Kibatala: Ni sahihi Kwamba Umeanza Kuwakusanya hawa baada ya Tarehe 20 July 2020

Shahidi: Ni sahihi

Kibatala: Na wewe ndiyo Ulikuwa Unawafahamu hawa wala Siyo Mbowe

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Unaweza Kutuisaidia Kuwa Kwanini Inspector Swila alifungua Faili la Kula Njama Tarehe 18 July 2020 Wakati Wakati Umekutana hawa Vijana Tarehe 20 Mpaka 24

Shahidi: Sijui sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…